Nikopeshe au naomba hela ya kunisaidia jioni hii nimekwama ndugu zangu

Nikopeshe au naomba hela ya kunisaidia jioni hii nimekwama ndugu zangu

Tunaambiwa uchumi unapaa, na ukisema biashara umefunga watakwambia ulikua mpiga dili, pole sana mdau

Mie mwenyewe nilikuwa na duka la nguo Biashara nimefunga sikuwa mpiga dili na nilikuwa nafanya biashara kihalali kodi nalipa na TRA walikuwa wanatembelea dukani sasa wateja wote waliokuwa wanakuja kununua Suti, Nywele ,urembo na mahitaji mengine hawapo , ndio najipanga upya , nashukuru mungu nina sehemu nyingine ya kushika
 
pole sana mkuu
 
Hii "Free Basics" inakuwaje mkuu? Naomba ufafanuzi [emoji120] . Namimi niwe natumia.
ukiwa na line ya tigo au voda unaperuz bure mitandao mingi sana km bbc jamiiforums.nk ipo mingi sana
ni bure kbs huna haja ya kuweka bundle lolote unatumia tu
ingia tu www.freebasics
com ukiwa na opera mini inakua fresh sana
 
Dont jusify ila ukweli ni kwamba malipo ni hapa hapa duniani
Hebu nitolee kivuli chako cha mavi mbele hayo malipo yakinipata itakuuma nini? Tafuta wanaume kwa mtindo mwingine usitake kuwashwa makalio yako hadharani.
 
Back
Top Bottom