Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
“Kwa maana kahaba ni shimo refu; Na malaya ni rima jembamba.
”
— Mithali 23:27 (Biblia Takatifu)
”
— Mithali 23:27 (Biblia Takatifu)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona dogo kajichanganya hakujua kama huku ni Facebook 🥺Mimi sinunui malaya lakini huo ujinga sijui wa tajiri ananunua mbegu ni uongo mtupu, uchawi haupo kiongozi... kadanganye wengine..
Hizo hadithi za kwenye vijiwe mkishashiba ugali, mboga za majani na pilipili ya mwendokasi pembeni ni uongo mtupu..
Tuelimike jamani tuache ujinga..
Roho wa bwana akulinde kipeee
Amen sweetheartRoho wa bwana akulinde kipeee
1. Huyo unaemnunua anamvulia kila Mwenye pesa hata kama ni kichaa, ivyo wewe msafi unavyoenda kushiriki nae unajivisha Maroho machafu kwa starehe ya dk tu🤦♂️
2. Hivi unatambua baadhi ya matajiri hununua mbegu zenu kwa hao malaya mnaowaita Dada poa. Maana unapomwaga wanawahi kukuvua condom na wewe unadhani ni mahaba. Lini malaya akawa na mahaba na Iliali kila Mwenye pesa anakojoa?
Kifupi ni kwamba baadhi ya matajiri uingia biashara na madada poa wamkusanyie mbegu za wanaume kadhaa na azipeleke kwa mganga ili afanyiwe Dawa ya kusudi lake la utajiri. Hivyo nguvu zako Zote za utafutaji zinauzwa na kahaba kwa elfkumi tu na unakua nguvu zako umezipoteza kwa raha ya dk tu hata upambane vipi utoboi,
3. Ukionja huachi kamwe. Tena utajifanya unahudumia kuliko unavyo hudumia Mke wako na watoto. Huku unajua mnakula wengi Lakini uwazi. Kosa la yote nikile kitambaa alicho kufuta Baada ya tendo. Akakupumbaza kwa madawa. Ivyo uoni usikii😳
JITAMBUE DUNIA HAIPO KAMA UIONAVYO KWA MACHO YA KAWAIDA😳
Usipo kua na jicho la tatu. Omba Mungu akupe macho ya rohoni.
Weka ukweli sasaukionja uachi kamwe
Tena utajifanya unahudumia kuliko unavyo hudumia Mke wako na watoto
Huku unajua mnakula wengi Lakini uwazi 😳
Kosa la yote nikile kitambaa alicho kufuta Baada ya tendo🤦♂️
Akakupumbaza kwa madawa
Ivyo uoni usikU
SIO KWELI
🤣🤣🤣🤣Watu wanashukia mtoa mada jumla jumla.