Pre GE2025 Nikweli kwamba nchi hii wasanii wote ni CCM? Ni kweli kwamba Simba Yanga na Azam ni CCM? Au wanaenda kwa sababu ya njaa ya mkate? Hii ni ajabu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sio KULA ni KURA
Sawa tuuu. Kikubwa umeelewa.

Lakini wasani hawa wangehudhuria mkutano wa lisu, ungesikia ufipa nzima inabwabwaja eti wamejitambua. Ila kwakuwa wamehudhuria mikutano ya chama chao CCM ambacho ndio mlezi wao, sasa imekuwa nongwa
 
CCM inawalea kwenye nini? Wasanii wengi waliofanikiwa wanakwambia machungu waliyopitia hadi kutoboa, mfano diamond alisema wasanii wanatumika wakati wa kampeni ila baada ya uchaguzi vinajengwa viwanja vya soka na sio ukumbi wa muziki ambao unakidhi vigezo vya msanii wa marekani kufanya show, waliahidiwa pale tanganyika packers pangejengwa lakini hadi leo kimya.
 
Kwani ulitaka na wao baada ya uchaguzi wawe wabunge au maraisi? Mbona hata wapiga kura baada ya kampeni na uchaguzi wanarudi kwenye majukum yao ya kawaida? Wanaufipa semeni tuuu kwamba mnaona nongwa kuona wasanii ni wanaccm. Lakini akitokea msaani mkubwa akaja kwenye hicho chama chenu utasikia ufipa yote mnabwabwaja eti Amejitambua. Acheni nongwa wasaniii wanauhuru wa kuwa mwanachama chochote wakipendacho acheni wivuuu.
 
Una kichwa kigumu mno, mimi nakataa kusema ccm inawalea. Ccm haina msaada wowote kwa wasanii zaidi ya kuwatumia tu, mara ngapi media zimelalamikiwa na wasanii lakini ccm haiwasaidii?
 
Una kichwa kigumu mno, mimi nakataa kusema ccm inawalea. Ccm haina msaada wowote kwa wasanii zaidi ya kuwatumia tu, mara ngapi media zimelalamikiwa na wasanii lakini ccm haiwasaidii?

Muulize pia hiyo CCM na Ahmed Ally wameisaidia nini Club ya Simba mpaka kutaka wanasimba wachague chama chao?
 
Ccm wametoa wapi pesa ya kukodisha wasanii? Si bure nchi inauzwa kirahisi kwa hizo hadaa. Watu wanakusanya watu ili wapige picha za kwenda kuchukulia hela kwa waarabu kwa hadaa kuwa wanakubalika.
CCM ni jitu kubwa kama upo Tanzania angalia pembeni kuna kitega uchumi cha CCM, Je unajua ruzuku ya CCM?,je unajua matajiri wakubwa unaowajua Tanzania hii wanafadhili mikutano ya CCM? CCM NG'ARA!NG'ARA CCM NG'ARA!
 
Ni chawa wao🤗
 
Nikikumbuka kuwa mimi ni mtanzania uwa najiskia kulia kusema kweli.
 
Kama mnaushaidi na kutekana nendeni mahakamani.
Mahakama gani unadhani inaweza peleka kiongozi wa ccm mhalifu?
Kama kesi ya Naibu Waziri kumtumbukizia chupa ya soda kijana huko Manyara haikupelekwa mahakamani unaionaje hiyo? Haya haikupelekwa, mbadala ikaenda kwa kutumia Private prosecution method nayo anaingilia kati DPP Kuifuta!
Ingekuwa Kenya hiyo, DPP angekuja shangaa member wa family yake mmoja ametumbukizwa chupa ya Coca ajue uchungu ukoje.
 
CCM ni jitu kubwa kama upo Tanzania angalia pembeni kuna kitega uchumi cha CCM, Je unajua ruzuku ya CCM?,je unajua matajiri wakubwa unaowajua Tanzania hii wanafadhili mikutano ya CCM? CCM NG'ARA!NG'ARA CCM NG'ARA!
Chama kubwa kinachotegemea fadhila za wakwepa kodi na wauza unga, hamna chama hapo bali ni genge la majizi.
 
Pelekeni uongo wenu hukooo. Ndio maaana mnaishia kulia lia tuuu. Kiki mzitengeneze wenyewe halafu eti muipake matope serikaliii. Tumeshawagunduaa.
 
Pelekeni uongo wenu hukooo. Ndio maaana mnaishia kulia lia tuuu. Kiki mzitengeneze wenyewe halafu eti muipake matope serikaliii. Tumeshawagunduaa.
Unaishi dunia ya kijima na hata habari sahihi huwezi pata bali propaganda na uongo wa CCM.
Kama yule kijana ni muongo hivyo kamdanganya hadi presidaa hata akamfyeka Naibu waziri?
Kwa hiyo nchi ni dhaifu hadi NW anaondolewa kwa uzushi wa kijana mdogo?
 
Wewe unayeishi hiyo dunia ya kutengeneza mapropaganda ya kuichafua serikali, unafikiri utafanikiwaa chochote. Matukio mtengeneze nyinyi eti mkaichafue serikali. Hovyo kabisaaa. Mtachafuka nyinyi na kiki zenuu
 
Huwezi kuwa cartel kama sio mwanaccm ukasalimika.

Wala huwezi kuuza biashara yoyote haramu kama sio kada humalizi hada Mwezi kwenye game.
 
Ccm wametoa wapi pesa ya kukodisha wasanii? Si bure nchi inauzwa kirahisi kwa hizo hadaa. Watu wanakusanya watu ili wapige picha za kwenda kuchukulia hela kwa waarabu kwa hadaa kuwa wanakubalika.
Kumbe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…