Ujamaa ni mhimu
JF-Expert Member
- Sep 30, 2022
- 1,203
- 1,011
Sawa tuuu. Kikubwa umeelewa.Sio KULA ni KURA
Lakini wasani hawa wangehudhuria mkutano wa lisu, ungesikia ufipa nzima inabwabwaja eti wamejitambua. Ila kwakuwa wamehudhuria mikutano ya chama chao CCM ambacho ndio mlezi wao, sasa imekuwa nongwa