Heri ya mwaka mpya Mwanawasu!.Heri na kwako pia KakaKiiza!!!!!
Heri ya mwaka mpya Mwanawasu!.
Pouwa kabisa Msubhati!.Kutiki muramu!!!!!
Ukweli nikuwa naye humu
JF kwa mwaka sasa ila nimeachana naye naye simwingine najua nyote hili
jina siyo geni masikioni mwenu!Ni huyu 2012 nimeachana naye na kwasasa
ninaye 2013 ila sijui tabia yake namchunguza!!! Heri ya mwaka mpya wana
Chit Chat wote nimeuna mwaka mpya!!
Hahahah.....aiseee!!