Nikweli nilikuwa nampenda!ila nimepata mwingine!!!

Nikweli nilikuwa nampenda!ila nimepata mwingine!!!

Huu umbea huuu.
Nilivyoona KakaKiiza na kusoma mistari ya 2 ya mwanzo moyo ukafanya ptuuu.
Usirudir mpaka sasa hivi mapigo hayajarudi kwenye hali ya kawaida
 
Last edited by a moderator:
Huu umbea huuu.
Nilivyoona KakaKiiza na kusoma mistari ya 2 ya mwanzo moyo ukafanya ptuuu.
Usirudir mpaka sasa hivi mapigo hayajarudi kwenye hali ya kawaida
Pole shosti nitaurudishia mahali pake siku ya white party usijali!!
 
Ukweli nikuwa naye humu JF kwa mwaka sasa ila nimeachana naye naye simwingine najua nyote hili jina siyo geni masikioni mwenu!Ni huyu 2012 nimeachana naye na kwasasa ninaye 2013 ila sijui tabia yake namchunguza!!! Heri ya mwaka mpya wana Chit Chat wote nimeuna mwaka mpya!!

Kwa nini kupeana presha jamani?

Taratibu mtatuua
 
105.gif
 
Back
Top Bottom