Nikweli nilikuwa nampenda!ila nimepata mwingine!!!

Huu umbea huuu.
Nilivyoona KakaKiiza na kusoma mistari ya 2 ya mwanzo moyo ukafanya ptuuu.
Usirudir mpaka sasa hivi mapigo hayajarudi kwenye hali ya kawaida
 
Last edited by a moderator:
Huu umbea huuu.
Nilivyoona KakaKiiza na kusoma mistari ya 2 ya mwanzo moyo ukafanya ptuuu.
Usirudir mpaka sasa hivi mapigo hayajarudi kwenye hali ya kawaida
Pole shosti nitaurudishia mahali pake siku ya white party usijali!!
 

Kwa nini kupeana presha jamani?

Taratibu mtatuua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…