Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Wapwani tulikuwa tumekaa zetu tumetulia tu....ila binadamu bwana.Wazeee wa pwani hawapo aggressive na utafutaji katika ujana wao wakizeeka ndo kama hivo utafutaji wao wa riziki unakua wa kimajungu
Mkuu ibada njemaWapwani tulikuwa tumekaa zetu tumetulia tu....ila binadamu bwana.
Mwanzoni issue ilikua uongozi uliopo madarakani lakini Kwa hapa naona kama tatizo lake ni mwekezajiMzee haeleweki anasema nia yake ni kuwa Yanga wakae nae wamalizane, sasa sijui anataka wamalizane nini.
R.i.pHuyu mzee anaweza kuwa msaada mkubwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama kwakutaja hao watu waliomwambia kuwa Rais Samia hafurukuti mbele ya GSM vinginevyo ukimya utathibitisha kuwa maneno yake ni yakweli.
View: https://youtu.be/X4hGFQt829g?si=TJtK14gEvE_EUMyD
Apewe mpungaMzee haeleweki anasema nia yake ni kuwa Yanga wakae nae wamalizane, sasa sijui anataka wamalizane nini.