Nikweli yasemwayo kuwa wanaume wa Dar hawawezi kumenya muwa Otherwise watengenezewe juice?

Wanaume wa Dar mmiminike kujibu hoja zetu za wanaume wa mkoani.

Wadau mambo mengi yanasemwa sana kuhusu wanaume wa dar mengi yakiwasilishwa kwa njia ya utani.
Leo asubuhi nimekutana na jamaa yangu tunafanya nae kazi pamoja katika story ikabidi twende nae shamba
kwenye lile shamba huwa kuna miwa kadhaa nikaona sio mbaya tupate miwa mimi na jamaa yangu.

Bahati mbaya hatukuwa na panga wala kisu.

Kama mjuavyo miwa ni mirahisi sana kuvunjika nimekanya muwa ukavunjika na kuvunja kipande nikamgawia akasema wewe!!! muwa unakulaje bila kumenyewa na kukatiwa katiwa vipande vidogo vidogo unakuwa unatafuna tu?

Akasema kwetu { Dar} lazima muwa umenywe na kukatwa vipande. Sijawahi kula muwa kwa namna hii.

Muda huo mimi nashangaa tu huku nakula muwa wangu na nikweli hakula alibeba akasema afike home aumenye.

Huku raha ya muwa umenye kwa meno yako na unalitafuna kidogo Ganda lake then unaitema.

Mnafeli wapi wanaume wa Daslma?View attachment 3161575
Lakini Mkoa unaoongoza kwa upinde ni Arusha, Zanzibar na Tanga
 
Dar hatuna mambo mengi akili tu, nyie kutoka mikoani mnakuja na miguvu yenu ndio tunawatumia kutuchotea maji ya kuoga tunawalipa mia tano mpate hela za kununua mbegu za mahindi mkalime kwenu mje mtuuzie tule.
 
Wanaume wa Dar mmiminike kujibu hoja zetu za wanaume wa mkoani.

Wadau mambo mengi yanasemwa sana kuhusu wanaume wa dar mengi yakiwasilishwa kwa njia ya utani.
Leo asubuhi nimekutana na jamaa yangu tunafanya nae kazi pamoja katika story ikabidi twende nae shamba
kwenye lile shamba huwa kuna miwa kadhaa nikaona sio mbaya tupate miwa mimi na jamaa yangu.

Bahati mbaya hatukuwa na panga wala kisu.

Kama mjuavyo miwa ni mirahisi sana kuvunjika nimekanya muwa ukavunjika na kuvunja kipande nikamgawia akasema wewe!!! muwa unakulaje bila kumenyewa na kukatiwa katiwa vipande vidogo vidogo unakuwa unatafuna tu?

Akasema kwetu { Dar} lazima muwa umenywe na kukatwa vipande. Sijawahi kula muwa kwa namna hii.

Muda huo mimi nashangaa tu huku nakula muwa wangu na nikweli hakula alibeba akasema afike home aumenye.

Huku raha ya muwa umenye kwa meno yako na unalitafuna kidogo Ganda lake then unaitema.

Mnafeli wapi wanaume wa Daslma?View attachment 3161575
Ndio.
 
Ukiwa mjini sikatai mkuu wangu. shida tupo shambani anataka amenyewe ndo ale na anasema wazi hajawahi kabisa kumenya kwa mdomo wake!
Huyo jamaa alionyesha mambo ya mjini shambani ? 🤣🤣🤣
Nakumbuka nilienda Kijijini nikawa naongea Kisukuma wakaanza kuniletea ujuaji Wanyantuzu. Wewe unaongea Kisukuma sisi tunaongea Kiswahili mbona unajifanya mjuaji sana ? ???

Nikawaambia hapa ni home tuongee cha home, achananeni na Kiswahili.
 
Kijijini unatafuna muwa road huku ukipiga misele, unadondosha maganda utakavyo, unaenjoy vibaya mno
Dar kila pahala mtu katandika biashara yake, kula muwa ni mpaka ufike kwako, na joto la dar kumenya muwa ni kama adhabu tu.

Wauza juice ya muwa big up sana kwao, wanarahisisha mambo.
 
Sasa anatka muwa amenyewe halafu tupo wanaume wote. nikamwambia beba kamenyee kwako.
akasema angekuwa na machine ya kukamua angekamua juice kabisa.

Kuna jamaa miaka ya 2003 alirudi kutoka zanzibar akijidai kisukuma kashakisahau. Yaani aliondoka mkubwa tu baada ya miaka miwili eti kisukuma hakijui tena. nilimwambia lekaga ubhunywana nkoyi
 
🤣Nasekhaga sana nkoi mbavu Jane
 
Kijijini unatafuna muwa road huku ukipiga misele, unadondosha maganda utakavyo, unaenjoy vibaya mno
Dar kila pahala mtu katandika biashara yake, kula muwa ni mpaka ufike kwako, na joto la dar kumenya muwa ni kama adhabu tu.

Wauza juice ya muwa big up sana kwao, wanarahisisha mambo.
Sio Dar tu pekee yake ni mjini kote. sasa hyu jamaa tulienda nae shambani akasema hajui kumenyenya muwa kwa mdomo na hajawahi
 
Back
Top Bottom