Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
-
- #21
Watu wa dar wanatutoa kwenye maadili ya kitanzania wanataka kutuona sisi ni wachina. utumbo sasa imekuwa biashara hadi mikoani chanzo cha yote ni DarNgoja waje wazee wa utumbo wa kuku
Lakini Mkoa unaoongoza kwa upinde ni Arusha, Zanzibar na TangaWanaume wa Dar mmiminike kujibu hoja zetu za wanaume wa mkoani.
Wadau mambo mengi yanasemwa sana kuhusu wanaume wa dar mengi yakiwasilishwa kwa njia ya utani.
Leo asubuhi nimekutana na jamaa yangu tunafanya nae kazi pamoja katika story ikabidi twende nae shamba
kwenye lile shamba huwa kuna miwa kadhaa nikaona sio mbaya tupate miwa mimi na jamaa yangu.
Bahati mbaya hatukuwa na panga wala kisu.
Kama mjuavyo miwa ni mirahisi sana kuvunjika nimekanya muwa ukavunjika na kuvunja kipande nikamgawia akasema wewe!!! muwa unakulaje bila kumenyewa na kukatiwa katiwa vipande vidogo vidogo unakuwa unatafuna tu?
Akasema kwetu { Dar} lazima muwa umenywe na kukatwa vipande. Sijawahi kula muwa kwa namna hii.
Muda huo mimi nashangaa tu huku nakula muwa wangu na nikweli hakula alibeba akasema afike home aumenye.
Huku raha ya muwa umenye kwa meno yako na unalitafuna kidogo Ganda lake then unaitema.
Mnafeli wapi wanaume wa Daslma?View attachment 3161575
Umeshawahi kula utumbo mkuu?Watu wa dar wanatutoa kwenye maadili ya kitanzania wanataka kutuona sisi ni wachina. utumbo sasa imekuwa biashara hadi mikoani chanzo cha yote ni Dar
Mkuu hiyo njaa sijawahi kuwa nayo hakika! ni ulafi pro maxUmeshawahi kula utumbo mkuu?
Huko hatujafika mkuu. unatupeleka kasi sanaLakini Mkoa unaoongoza kwa upinde ni Arusha, Zanzibar na Tanga
Ndio.Wanaume wa Dar mmiminike kujibu hoja zetu za wanaume wa mkoani.
Wadau mambo mengi yanasemwa sana kuhusu wanaume wa dar mengi yakiwasilishwa kwa njia ya utani.
Leo asubuhi nimekutana na jamaa yangu tunafanya nae kazi pamoja katika story ikabidi twende nae shamba
kwenye lile shamba huwa kuna miwa kadhaa nikaona sio mbaya tupate miwa mimi na jamaa yangu.
Bahati mbaya hatukuwa na panga wala kisu.
Kama mjuavyo miwa ni mirahisi sana kuvunjika nimekanya muwa ukavunjika na kuvunja kipande nikamgawia akasema wewe!!! muwa unakulaje bila kumenyewa na kukatiwa katiwa vipande vidogo vidogo unakuwa unatafuna tu?
Akasema kwetu { Dar} lazima muwa umenywe na kukatwa vipande. Sijawahi kula muwa kwa namna hii.
Muda huo mimi nashangaa tu huku nakula muwa wangu na nikweli hakula alibeba akasema afike home aumenye.
Huku raha ya muwa umenye kwa meno yako na unalitafuna kidogo Ganda lake then unaitema.
Mnafeli wapi wanaume wa Daslma?View attachment 3161575
Dar kwenye kuku kinachotupwa ni manyoya wana njaa sana wale jamaaMkuu hiyo njaa sijawahi kuwa nayo hakika! ni ulafi pro max
Huyo jamaa alionyesha mambo ya mjini shambani ? 🤣🤣🤣Ukiwa mjini sikatai mkuu wangu. shida tupo shambani anataka amenyewe ndo ale na anasema wazi hajawahi kabisa kumenya kwa mdomo wake!
Hilo tunda silipendi mno.Umesahau fenesi
Hilo tunda silipendi mno.
Sasa anatka muwa amenyewe halafu tupo wanaume wote. nikamwambia beba kamenyee kwako.Huyo jamaa alionyesha mambo ya mjini shambani ? 🤣🤣🤣
Nakumbuka nilienda Kijijini nikawa naongea Kisukuma wakaanza kuniletea ujuaji Wanyantuzu. Wewe unaongea Kisukuma sisi tunaongea Kiswahili mbona unajifanya mjuaji sana ? ???
Nikawaambia hapa ni home tuongee cha home, achananeni na Kiswahili.
Sasa fenesi linaugumu gani hadi wamenyewe au ile kutoa mbegu na kunyofoa ule utamu?Umesahau fenesi
Nkoi kineheHapa jijini kila kitu ni take away mkuu, sasa kwa joto hili tunakulaje miwa ya moto ? Nuff respect kwa Wauza miwa wa Dar wanajua Customer caring. 🤣🤣🤣
🤣Nasekhaga sana nkoi mbavu JaneSasa anatka muwa amenyewe halafu tupo wanaume wote. nikamwambia beba kamenyee kwako.
akasema angekuwa na machine ya kukamua angekamua juice kabisa.
Kuna jamaa miaka ya 2003 alirudi kutoka zanzibar akijidai kisukuma kashakisahau. Yaani aliondoka mkubwa tu baada ya miaka miwili eti kisukuma hakijui tena. nilimwambia lekaga ubhunywana nkoyi
Sio Dar tu pekee yake ni mjini kote. sasa hyu jamaa tulienda nae shambani akasema hajui kumenyenya muwa kwa mdomo na hajawahiKijijini unatafuna muwa road huku ukipiga misele, unadondosha maganda utakavyo, unaenjoy vibaya mno
Dar kila pahala mtu katandika biashara yake, kula muwa ni mpaka ufike kwako, na joto la dar kumenya muwa ni kama adhabu tu.
Wauza juice ya muwa big up sana kwao, wanarahisisha mambo.
🤣Mimi ni msukuma lakini siwezi kutafuna Kula embe ambalo halijamwenywaSio Dar tu pekee yake ni mjini kote. sasa hyu jamaa tulienda nae shambani akasema hajui kumenyenya muwa kwa mdomo na hajawahi
hahahaaaa bhanu bhaliho abha tuja gete🤣Nasekhaga sana nkoi mbavu Jane