Mkuu swali gani hilo, vyakula vyote vimejaa masokoni wewe una waza wali na ugali tu, acha mazoea ya hovyo. Mimi mwenyewe huwa sili hivyo vitu kila siku.Wana jukwa salaam kwenu.
Imekuwa kawaida kwangu Mimi kula ugali na wali kama Chakula kikuu siku hadi siku. Sasa nimepata wazo la kuviweka kando kwa siku 14 bila kuvigusa
hivyo naomba mniambie kwa hapa kwetu Tanzania ni Chakula gani mbadala naweza kutumia kwa hizo siku 14 na mwili ukabaki na nguvu zake zile zile!
1.Jumapili
2.Jumatatu
3.Jumanne
4.Jumatano
5.Alhamisi
6.Ijumaa
7.Jumamosi
8.Jumapili
.
.
.
Natanguliza shukrani za dhati
Ufafanuzi hapo shelisheli na ngano mbeguMkuu swali gani hilo, vyakula vyote vimejaa masokoni wewe una waza wali na ugali tu, acha mazoea ya hovyo. Mimi mwenyewe huwa sili hivyo vitu kila siku.
Haya jichagulie.
Magimbi
Tambi
Mihogo.
Ndizi Bokoboko.
Sheli sheli.
Ndizi mshale, malindi nk.
Mahindi mabichi unatengeneza makande.
Matunda ya kila aina.
Ngano mbegu.
Ngano unga, ie, chapati, mandazi, mikate nk
Mahindi ya kuchemsha.
Hapo unajumlisha na mboga za aina mbali mbali na samaki
Mkuu ngano mbegu, kama ilivyo hapo, unaipika kama kande, ni nzuri sana, unaweza kuipika na maharage au chochote, na ni nzuri kwa afya. Ngano mbegu inapatikana masokoni, masoko ya nafaka. Sheli sheli ni tunda, linapatikana juu ya mti, linapikwa na kuwa kama kiazi, ni nzuri kwa afya pia hupatikana kwa msimu masokoni.Ufafanuzi hapo shelisheli na ngano mbegu
Vinginevyo ahsante kwa orodha hii
Jumapili maboga na samaki, mboga za majaniWana jukwa salaam kwenu.
Imekuwa kawaida kwangu Mimi kula ugali na wali kama Chakula kikuu siku hadi siku. Sasa nimepata wazo la kuviweka kando kwa siku 14 bila kuvigusa
Hivyo naomba mniambie kwa hapa kwetu Tanzania ni Chakula gani mbadala naweza kutumia kwa hizo siku 14 na mwili ukabaki na nguvu zake zile zile
1.Jumapili
2.Jumatatu
3.Jumanne
4.Jumatano
5.Alhamisi
6.Ijumaa
7.Jumamosi
8.Jumapili
.
.
.
Natanguliza shukrani za dhati
Asante kwa ushauri wako mkuu. Na kwakweli ukifanikiwa hapo hadi mwisho wa wiki utafeel mabadiliko kwenye tumbo lakoJumapili maboga na samaki, mboga za majani
Jumatatu tambi, nyama, mayai,
Jumanne magimbi, mishikaki,
Jumatano mihogo, dagaa, njegere au maharage
Alhamisi ndizi nyama, utumbo,
Ijumaa kitimoto choma, roast na chips,
Jumamosi samaki , kuku na chapati , sambusa,
Vyakula ni vingi tu unaweza hata kukaa mwaka bila kula vitu hivyo
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Sana mi nimekuwa nikifanya hivi sana tu na kiukweli mafanikio yamekuwa makubwa hata mwili umepungua sanaAsante kwa ushauri wako mkuu. Na kwakweli ukifanikiwa hapo hadi mwisho wa wiki utafeel mabadiliko kwenye tumbo lako
Hakika ngoja nami nizingatie hilo. Karibu mkuuSana mi nimekuwa nikifanya hivi sana tu na kiukweli mafanikio yamekuwa makubwa hata mwili umepungua sana
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mi niliacha hadi chapati, maandazi, nikawa nafanya nyama kuwa chakula kikuu na salads na matunda na maziwa mpaka nilipofikia malengoHakika ngoja nami nizingatie hilo. Karibu mkuu
πππ sawa mkuu nakuelewa naona hoja yako imejikita zaidi kwenye bajeti. Sawa hilo nalo ni lakuzingatiawali na ugali ni vyakula vigumu sana ukila unaweza kupiga ndefuu bila njaa tofauti na vyakula vingine km hayo ndiz na mabokoboko..vyakula hvyo simpo ukiacha ugali na wali utakula sawa ila haipiti mda mrefu unaskia njaa tena!utajikuta unakula ula ovyo badala ubane matumiz ndio unazidisha
Mbona naona Menu yako hapo juu imejaa wanga tupu kuanzia jtatu to Jpili..!??Sana mi nimekuwa nikifanya hivi sana tu na kiukweli mafanikio yamekuwa makubwa hata mwili umepungua sana
Ila mi nimeachana kabisa na wanga kwa kipindi kirefu tu, nakula mara chache mno
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ni ngumu sana kuota kitambi uzembe ukifuruliza unakula ndizi kuliko ukifuruliza ulapo ugali. Japo vyote vinazalisha nutrients ambazo zawezakuwa zinafanana.Mbona naona Menu yako hapo juu imejaa wanga tupu kuanzia jtatu to Jpili..!??
Mihogo,Ndizi,Magimbi,Tambi si bado wanga tu!??au umepunguza ulaji tu rafiki
Hivyo nimemtajia yeye ambae hataki wali na ugaliMbona naona Menu yako hapo juu imejaa wanga tupu kuanzia jtatu to Jpili..!??
Mihogo,Ndizi,Magimbi,Tambi si bado wanga tu!??au umepunguza ulaji tu rafiki
Ni kweli,Ila pia hata ulaji uliopitiliza wa kitimoto na nyama halafu ukiwa unapiga na kilevi kitambi nacho kitakuja tuNi ngumu sana kuota kitambi uzembe ukifuruliza unakula ndizi kuliko ukifuruliza ulapo ugali. Japo vyote vinazalisha nutrients ambazo zawezakuwa zinafanana.