LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,483
Haya hapo kwenye tambi napo panalika kwa styles tofauti1.Viazi vitamu-option ya kukaanga ama kuchemsha..siku 2 hizo
2.viazi ulaya-kukaanga,kuoka na mashed potatoes-siku 3 hizooo
3.tambi
4.Boga la kuchemsha
5.Chapati
6.ndizi mzuzu za kuchemsha na kukaanga -siku 2 hapoo
7.ndizi bukoba-za kukaanga na za kuweka kwenye mchemsho
8.mahindi ya kuchemsha
9.magimbi ya kuchemsha na futari
10.mihogo-ya kuchemsha,ya kukaanga na ya futari ya nazii
kama siku 15 hapo
then js serve kwa kubadili badili mboga of ur choice
Mfano ;
1.tambi plain
2.tambi na vegetables
3.tambi na sausage
4.tambi/spaghetti na nyama ya kusaga
5.Pasta salad
6.Macaroni and cheese