Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,404
Ok nimekuelewa, vipi mazoezi hayakuhusika pia ila diet tu!?!??Hivyo nimemtajia yeye ambae hataki wali na ugali
Mi nilipokuwa najipunguza milikuwa nakula mayai, nyama (hadi kitimoto)
Maziwa ya aina zote (full cream milk)
Mboga za majani
Matunda nilikuwa nakula matango na maparachichi
Na nilikuwa nakula mboga zote za majani pamoja na kabichi
Ila nilikuwa nakula pia maharage na wali hii japo mara moja kwa miezi kama mitatu, hii nilishindwa kuacha kabisa sababu napenda mno na nilipunguza sana alcohol nilikuwa nakunywa red wine tu tena weekends na sio zote
Na nilipungua toka 89kg mpaka 64kg
Sasa hivi nimeongezeka kidogo nna 68 ila nataka nirudi 64kg mpaka kufika october mwaka huu
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Nakubaliana nawe kwenye ulaji wa mboga za majani,matunda ila mie hupenda kuongeza mazoezi ili nipate majibu mazuri.
Huwa nikipunguza wanga napunguza pia na red meat nakuwa situmii kila mara..