Nile chakula gani tofauti na wali na ugali kwa muda wa wiki mbili mfulizo?

Haya hapo kwenye tambi napo panalika kwa styles tofauti
Mfano ;
1.tambi plain
2.tambi na vegetables
3.tambi na sausage
4.tambi/spaghetti na nyama ya kusaga
5.Pasta salad
6.Macaroni and cheese
 
Na siku ingine kula tu;
fruit salad
Ama vegetable salad kusafisha mwili tuu
 
Mbona naona Menu yako hapo juu imejaa wanga tupu kuanzia jtatu to Jpili..!??

Mihogo,Ndizi,Magimbi,Tambi si bado wanga tu!??au umepunguza ulaji tu rafiki
Hiyo sio menu yangu, mtu alitaka ratiba ambayo haitahusisha wali na ugali na nikamjibu, wala hamna mahala niliposema hiyo ni menu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…