Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba definition na neno "kunenepa"; labda tuanzie hapo kwanza.Wadau habari zenu
Naombeni ushauri wa namna ya kula, na vyakula gani nikila ndani ya muda mfupi nitanenepa .
Nilikuwa mnene wa wastani kwa kipindi cha mwaka mzima nikawa busy sana na kazi naweza jikuta nakula chakula hata saa kumi, alafu kiwango cha ulaji pia kikapungua yani nikila saa kumi hata chipsi za buku simalizi
Sasa hivi kila nguo inapwaya mwenzenu, nataka sasa nipunguze ubize na nijali mda wa kula ili nijenge afya yangu mana hizi hela zipo tu.
Nipeni ratiba na aina ya misosi ambayo inaweza nifanya nipate kunenepa ndani ya mwezi mmoja tu
#Siyo niwe bonge ila nirudie mwili wa zamani wa wastani
Karibuni kwa ushauri
[emoji23][emoji23][emoji23]kula vizur hasa nyama nyekundu, karanga mbichi kwa wingi, maziwa then pata nyeto kwa wiki mara 2 kukuondolea uchovu wa pilikapilika za mjini, utapata usingiz saf na muruwa
Wiki 3 utaitwa pacha wa peter msechu
Nyama nyekundu ni zipi??kula vizur hasa nyama nyekundu, karanga mbichi kwa wingi, maziwa then pata nyeto kwa wiki mara 2 kukuondolea uchovu wa pilikapilika za mjini, utapata usingiz saf na muruwa
Wiki 3 utaitwa pacha wa peter msechu