Nile nini ninenepe

Nile nini ninenepe

Nenda kwenye Migahawa ya waMALAYSIA.

Nakuambia wiki mbili tu, utaona utakavyoanza kufura
 
Wanene wanahaha kupungua, wembamba wanataka kunenepa.
 
Wadau habari zenu

Naombeni ushauri wa namna ya kula, na vyakula gani nikila ndani ya muda mfupi nitanenepa .

Nilikuwa mnene wa wastani kwa kipindi cha mwaka mzima nikawa busy sana na kazi naweza jikuta nakula chakula hata saa kumi, alafu kiwango cha ulaji pia kikapungua yani nikila saa kumi hata chipsi za buku simalizi

Sasa hivi kila nguo inapwaya mwenzenu, nataka sasa nipunguze ubize na nijali mda wa kula ili nijenge afya yangu mana hizi hela zipo tu.

Nipeni ratiba na aina ya misosi ambayo inaweza nifanya nipate kunenepa ndani ya mwezi mmoja tu
#Siyo niwe bonge ila nirudie mwili wa zamani wa wastani

Karibuni kwa ushauri
Naomba definition na neno "kunenepa"; labda tuanzie hapo kwanza.
 
kula vizur hasa nyama nyekundu, karanga mbichi kwa wingi, maziwa then pata nyeto kwa wiki mara 2 kukuondolea uchovu wa pilikapilika za mjini, utapata usingiz saf na muruwa
Wiki 3 utaitwa pacha wa peter msechu
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
kula vizur hasa nyama nyekundu, karanga mbichi kwa wingi, maziwa then pata nyeto kwa wiki mara 2 kukuondolea uchovu wa pilikapilika za mjini, utapata usingiz saf na muruwa
Wiki 3 utaitwa pacha wa peter msechu
Nyama nyekundu ni zipi??
 
Back
Top Bottom