Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Labda wewe hilo suala unachukulia kawaida ndio maana na yeye haachi.
Na huenda ni kweli hana mahusiano na huyo jamaa na nafsi yake inamshuhudia hiyo, ila siku jamaa akitaka mchezo kuchomo sidhani kama ana ubavu huo.