Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Wewe ni mpumbavu.Naombeni ushauri mke wangu ameshika ujauzito ambao ndo wa Kwanza ila ana mawasiliano bhado na eX wake.
Niimkataza mimba ikiwa ina miezi miwili Ila cha ajabu nmekaa sasa hivi ina miez saba nmekuta bado wana mawasiliano ila yeye anadai jamaa ndo huo anampigia nkamwambia kwann usimblock Hana jibu.
Halafu na pia hiyo imenipa mashaka ujauzito unaweza usiwe wa kwangu.
Naombeni ushauri wenu.