Nilee mimba au nimwache?

Mleta mada unapaswa kupigwa ngumi za Mandonga ubongo wako umeganda sana..hili nalo ni la kuhitaji ushauri?🙌
 
MKE WANGU
full stop.
Lea mimba hiyo tajiri. Angekua mchumba ningekwambia tulia azae. Mke. Nisemeje mimi. Naheshimu maagano ya kidini.
 
Kwa hiyo asiwasiliane na baba wa mtoto wake?
 
Ni mkeo kabisa wa ndoa?
Kama ni wa ndoa basi ukikumbuka namna mlivyokutana adi kuoana utapata jibu la swali lako,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…