Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Wewe ni mpumbavu.Naombeni ushauri mke wangu ameshika ujauzito ambao ndo wa Kwanza ila ana mawasiliano bhado na eX wake.
Niimkataza mimba ikiwa ina miezi miwili Ila cha ajabu nmekaa sasa hivi ina miez saba nmekuta bado wana mawasiliano ila yeye anadai jamaa ndo huo anampigia nkamwambia kwann usimblock Hana jibu.
Halafu na pia hiyo imenipa mashaka ujauzito unaweza usiwe wa kwangu.
Naombeni ushauri wenu.
Nasubiri makachero wafike wakukamateNishamaliza kazi..hutoona akisema chochote tena 🤣🤣🤣
Vipi kuhusu kuambukizana magonjwa?Acha mambo ya wivu wakijinga.
Kuchapiwa hakuepukiki. Cha msingi wewe sii unapata mbususu kwa muda wako. Na hakikisha na wewe unakuwa na micheps miwili yenye shape na sura kuzidi yeye maisha yanaenda
Wameshafika af kuna mganda ubongo mwingine nimekutag naomba uende ukajionee 🤣🤣🤣Nasubiri makachero wafike wakukamate
Sijaona wap huko nitag upyaWameshafika af kuna mganda ubongo mwingine nimekutag naomba uende ukajionee 🤣🤣🤣
Kufa utakufa tuu wala usiumize kichwa sana. Jikinge lakini ikitokea imetokea sii mnasema kuwa ni mipango ya mungu 🤣🤣🤣🤣Vipi kuhusu kuambukizana magonjwa?
Atakuwa anaendelea kumpa nyapu ilihali ana ujauzito wako. Kuna jamaa wanapenda sana kula wajawazito kwa reason kuwa wanakuwa na joto jingi sana kipindi hicho.Naombeni ushauri mke wangu ameshika ujauzito ambao ndo wa Kwanza ila ana mawasiliano bhado na eX wake.
Niimkataza mimba ikiwa ina miezi miwili Ila cha ajabu nmekaa sasa hivi ina miez saba nmekuta bado wana mawasiliano ila yeye anadai jamaa ndo huo anampigia nkamwambia kwann usimblock Hana jibu.
Halafu na pia hiyo imenipa mashaka ujauzito unaweza usiwe wa kwangu.
Naombeni ushauri wenu.
Half americanSijaona wap huko nitag upya