Niliacha chuo ili nifanye biashara, sasa mtaji umekatika sijui nifanye nini?

Mkuu, Pole
Ila nataka ujue kitu kimoja kuwa, unapoamua kuingia kwenye ujasiriamali ni kuwa kuna mambo unatakiwa kuyafahamu kabla ya kuanza, Mambo hayo ni kufanikiwa na kufail, huwezi fanya biashara ukitegemea mojakwamoja kuwa 100% utafanikiwa hilo ndo hukulijua!
Sasa basi, chakufanya usikate tamaa simamia wazo lako kama uliona lingekutoa, chakufanya angalia ulipoanguka na anza kidogo kidogo then utatoboa, Ujasiriamali sio rahisi, unatakiwa kupambana bila kukata tamaa
 
Mkuu unaweza kuniambia hiyo biashara yenye mtaji Wa kiasi hicho maana mimi pia nipo Mwanza.
 
dah pole sanaa nahisi hata hizo supplementary ulizipata kizembe ni masomo gani magumu kiasi hicho hadi ujikusanyie vifurushi vyote hivyoooo? mkuu usipokuwa na commitment na maisha huwezi toka
Umenena vyema mkuu life need committed, self disciplined and self motivated person. Utaanguka mara nyingi ila hautorudi nyuma kama utakuwa committed enough na clear focus ya kule unakoelekea huku ukiwa na nidhamu ya kutosha. Self motivation itakusaidia pale ambapo utahisi hakuna mtu anayesimama pamoja nawe.
La msingi ni kuwa every one has solution of his own challenge,(Listen from within).
 
Mpaka sasa unaamini kuna kazi? Then mama kijini ni suala la kumwelewesha tu kuhusu hali kubadililika! Wasiishi kwa matumain Kama miongoo kadhaa iliyopita
 
Mkuu biashara gani hiyo hapa Mwanza
 
Hongera sana broooo
 
K
 
Ulianza na mtaji kiasi gani?
 
Mkuu Motivation speaker yupi alikuharibu? Maana kutwa wanahubiri ujasiriamali wakati wao Makapuku tu hicho wanchofundisha hawa practice ona sasa ungekuwa Chuo sasa hv unakula boom lako bila stress! Ila unahangaika mitaani kwa sababu ya kuyakurupukia Maisha! Chuo chochote hakunaga Course mbaya! Umeona sasa ulipofeli! Yani course uliyosema Mbaya leo hii unaomba wadhamini wakakusomeshe hiyo uliyoikataa! Sasa bila shaka Umekoma! Usisikilize maneno yoyote ya mtu eti ooh Biligates aliacha Chuo afanye biashara, Hivi we ushawahi kusikia Mtu yoyote anahadithia Hali ya Billigates ilikuwaje kiuchumi kipindi anaacha Chuo? Hakuwa masikini Pesa ilikuwepo wazazi wake waliyamudu maisha sasa wewe mwenzangu Na Mie Hali mbaya Home halafu ukajilipua tena bila Kumshirikisha Mzazi angalau upate baraka anapokuombea daah Pole sana Mkuu
 
mkuu ww una uzoefu na biashara ya duka hv kwel hii bussness ina faida?? mana kuna sku nilikua najadlian kuhusu hii biashara nkaambiwa yaan duka n kwa ajili ya kutunza mtaji tu na sio kutoboa....kuna ukweli hapa mkuu


Hii biashara nineifanya 2009-2011!...kiukweli ni kuzungusha tu hela yako...imagie mfuko wa sukari nakumbuka faida ilikua 11000, ngano 7500, sembe 4500, mafuta kupikia 5000! Kitu kilichopush ni mafuta ya taaa na vinywaji na sigara ..mengine ni ubatili tu..mchele kila kilo faida 200!..maharage faida kubwa mayb 300!...ss utauza kilo ngap hapo!...mie hata niokote hela duka hapana
 
yaan kiukweli sjawahi trust biashara ya duka asee..uzur ww una ushujuda nayo bas umemaliza kla ktu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…