ikiumasema
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 923
- 1,299
Most people start businesses and when they start to lose money they dont know what to do!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, PoleNaanza kwa kuwasalimu ndugu zangu wa JF,
Moja kwa moja niende kwenye mada, mimi ni kijana umri wa miaka 21, nilimalza A-LEVEL mwaka jana na nikachaguliwa kujiunga chuo.
Ingawaje nilikidhi vigezo ila sikuweza kuchaguliwa kozi niliyoitaka. Kutokana na umasikini na ufukara ulioikumba familia yangu ilinilazimu nikasome kozi hiyo hiyo, hivyo maisha yangu ya chuo sikuwah kuwa na furaha kutokana na kusoma kitu ambacho sikipendi hali iliyopelekea kupata supplementary kozi nne kati ya saba kwa muhula wa kwanza.
Hali hiyo ilinikatisha tamaa na kuamua kuchukua maamuzi magumu ya kuacha chuo, na kujiingiza kwenye ujasiriamali hela ya mwisho ya kujikimu tulipopewa ilinilazimu niondoke nalo na kuanza maisha mapya Jijini Dar. Nilitafuta sehemu mtaani nikalipa pango la miezi mitatu na kuanza biashara ya kuuza mtumba.
Hadi sasa nimepoteza mtaji na sijui nini la kufanya na hadi dakika hii, mama kjijini anajua niko chuoni nasoma nikamkomboe kwenye umasikini.
Kwa hiyo ninachoomba kweli wapendwa dada na kakazangu, kama kuna mtu yeyote anaweza kunipa kazi ya kufanya niko tayari maana hapa pango limeisha na sina hela ya kulipa tena pango. Nawaz nirudi kjijini ila sijui ntamweleza nini mama akanielewa.
Pia, kama kuna mfadhili yuko tayari kunisomesha tuandikiane mkataba nimlipe nikipata kazi kwa riba ile ile ya Bodi ya mikopo maana kule siwezi kukopesheka tena mpaka nilipe kiasi fulani nitashukuru.
Ahsante.
Mkuu unaweza kuniambia hiyo biashara yenye mtaji Wa kiasi hicho maana mimi pia nipo Mwanza.Dogo cha kwanza biashara lazima uwe na maleng. Pili, kama mtaji umekata tafuta kazi inayoendana na mtaji ulionao. Hapo ungekuwa upo mkoa Mwanza ningekwambia biashara moja inayolipa huku na mtaji wake ni chini ya 30k afu unafanya masaa labda 6 tu unaondoka na 10000 yako au zaidi.
Vijana kazi zipo nyingi mno ila shida tunazionea aibu. Lakini kingine kama hujawahi kufanya biashara jaribu kuulizia kwanza, wewe ulifikiri huwezi kuuza nguo huku unasoma? Mbona wengine tunafanya umachinga na chuo hatuachi? Dogo fanya maamuzi sasa
Stop Being PESSIMISTIC... OPTIMISTIC PAYS MUCH...Pambana mkuu,acha kuishi stoo
Umenena vyema mkuu life need committed, self disciplined and self motivated person. Utaanguka mara nyingi ila hautorudi nyuma kama utakuwa committed enough na clear focus ya kule unakoelekea huku ukiwa na nidhamu ya kutosha. Self motivation itakusaidia pale ambapo utahisi hakuna mtu anayesimama pamoja nawe.dah pole sanaa nahisi hata hizo supplementary ulizipata kizembe ni masomo gani magumu kiasi hicho hadi ujikusanyie vifurushi vyote hivyoooo? mkuu usipokuwa na commitment na maisha huwezi toka
Mkuu biashara gani hiyo hapa MwanzaDogo cha kwanza biashara lazima uwe na maleng. Pili, kama mtaji umekata tafuta kazi inayoendana na mtaji ulionao. Hapo ungekuwa upo mkoa Mwanza ningekwambia biashara moja inayolipa huku na mtaji wake ni chini ya 30k afu unafanya masaa labda 6 tu unaondoka na 10000 yako au zaidi.
Vijana kazi zipo nyingi mno ila shida tunazionea aibu. Lakini kingine kama hujawahi kufanya biashara jaribu kuulizia kwanza, wewe ulifikiri huwezi kuuza nguo huku unasoma? Mbona wengine tunafanya umachinga na chuo hatuachi? Dogo fanya maamuzi sasa
Kwanza niliona watu waliomaliza almost awam 3 wapo mtaan na mim nngefuata
So nilinunua diary na kulist biashara 5 ntakazoweza kuzifanya....nkapiga hesabu ya mtaji maana nilibakiwa na boom 1 tuuu...!!ilikuwa kama 520k
Nkachanganua biashara zote nkaona fursa ipo kwenye duka....na kama bajet ikiwa haiend niende kwenye kilimo
Baada ya kuchanganua wapi kuna wepesi zaidi ndipo nilipoona fursa kwenye duka
Ilikuw bdo mwezi m1 nimalize UE nkaandka barua ya kuahirisha masomo....!!nkauza almost kila kitu maana nlkuwa nmpanga...!!then nkarudi dsm kupambana rasmi(hapo niliowaacha chuo walinisema saana....na skumuambia mtu yyte home kama nmeahirisha masomo....MPAKA SASA)
Nikafungua frem nkaweka vitu kulingana na mtaji nlonao....nkawela huduma ya vocha za kurusha na kuchajisha cm....kazi ikaanza
Nilipokea changamoto maana kulikuwa na maduka mengine ma3 jiran nami...lkn sikukata tamaa...!!nilipambana just kwa kuwa mcheshi na mkarimu kwa wateja...!!
Sikuchukua faida bali niliizungusha humo humo mpk duka lilipoanza kukua...!!
Nilipambana kujaza vitu....na kujifunza kupitia kwa wauza maduka wengne....kuna muda ilinibidi nitoe pesa kununua kitu ili tu maswali yangu yajibiwe...!!
Now Maisha yanaenda...sijafika nnapotaka lkn kesho yangu naiona
Nimepanga chumba
Kila kitu nmeweka
Nakula nnachotaka
Wale waliomaliza chuo tuliosoma pamoja wanaona aibu ht kuniangalia...!!wengne wapo mikoan wananiomba waje lkn kwakweli sijafikia level ya kuajiri mtu bado...na pia nnajua hii biashara ukmuachia bnadam mwenye majukum itaanguka
Kkubwa ni kuwa tusikate tamaa....!!Tusimsahau Mungu pia
Lakini kkubwa Mapenzi tupunguze kidooogo...tufocus kwenye kutafta pesa
View attachment 1181143View attachment 1181144View attachment 1181145View attachment 1181146View attachment 1181147View attachment 1181148View attachment 1181149View attachment 1181150View attachment 1181153View attachment 1181154View attachment 1181156

[/QUOTE
Kaka naomba kukazia hapo kwenye mapenzi😂😂........ Ukitaka kufanikiwa, kuwa na bidii katika kile unachohisi kitakuweka pale unapotaka.
Ila ngono ni moja ya vikwazo katika safar ya mafanikio.
Tuache mapenz kwa muda, then mambo yatakuwa goooood
Life in the village is easy,Life is not easy as u think
Ulianza na mtaji kiasi gani?Kwanza niliona watu waliomaliza almost awam 3 wapo mtaan na mim nngefuata
So nilinunua diary na kulist biashara 5 ntakazoweza kuzifanya....nkapiga hesabu ya mtaji maana nilibakiwa na boom 1 tuuu...!!ilikuwa kama 520k
Nkachanganua biashara zote nkaona fursa ipo kwenye duka....na kama bajet ikiwa haiend niende kwenye kilimo
Baada ya kuchanganua wapi kuna wepesi zaidi ndipo nilipoona fursa kwenye duka
Ilikuw bdo mwezi m1 nimalize UE nkaandka barua ya kuahirisha masomo....!!nkauza almost kila kitu maana nlkuwa nmpanga...!!then nkarudi dsm kupambana rasmi(hapo niliowaacha chuo walinisema saana....na skumuambia mtu yyte home kama nmeahirisha masomo....MPAKA SASA)
Nikafungua frem nkaweka vitu kulingana na mtaji nlonao....nkawela huduma ya vocha za kurusha na kuchajisha cm....kazi ikaanza
Nilipokea changamoto maana kulikuwa na maduka mengine ma3 jiran nami...lkn sikukata tamaa...!!nilipambana just kwa kuwa mcheshi na mkarimu kwa wateja...!!
Sikuchukua faida bali niliizungusha humo humo mpk duka lilipoanza kukua...!!
Nilipambana kujaza vitu....na kujifunza kupitia kwa wauza maduka wengne....kuna muda ilinibidi nitoe pesa kununua kitu ili tu maswali yangu yajibiwe...!!
Now Maisha yanaenda...sijafika nnapotaka lkn kesho yangu naiona
Nimepanga chumba
Kila kitu nmeweka
Nakula nnachotaka
Wale waliomaliza chuo tuliosoma pamoja wanaona aibu ht kuniangalia...!!wengne wapo mikoan wananiomba waje lkn kwakweli sijafikia level ya kuajiri mtu bado...na pia nnajua hii biashara ukmuachia bnadam mwenye majukum itaanguka
Kkubwa ni kuwa tusikate tamaa....!!Tusimsahau Mungu pia
Lakini kkubwa Mapenzi tupunguze kidooogo...tufocus kwenye kutafta pesa
View attachment 1181143View attachment 1181144View attachment 1181145View attachment 1181146View attachment 1181147View attachment 1181148View attachment 1181149View attachment 1181150View attachment 1181153View attachment 1181154View attachment 1181156
Life in the village is EasyLife is not easy as u think
Ilikuwa 520k ya boom plus km laki 3..Ulianza na mtaji kiasi gani?
Jumla ikàwa 820K?Ilikuwa 520k ya boom plus km laki 3..
mkuu ww una uzoefu na biashara ya duka hv kwel hii bussness ina faida?? mana kuna sku nilikua najadlian kuhusu hii biashara nkaambiwa yaan duka n kwa ajili ya kutunza mtaji tu na sio kutoboa....kuna ukweli hapa mkuu
yaan kiukweli sjawahi trust biashara ya duka asee..uzur ww una ushujuda nayo bas umemaliza kla ktu.Hii biashara nineifanya 2009-2011!...kiukweli ni kuzungusha tu hela yako...imagie mfuko wa sukari nakumbuka faida ilikua 11000, ngano 7500, sembe 4500, mafuta kupikia 5000! Kitu kilichopush ni mafuta ya taaa na vinywaji na sigara ..mengine ni ubatili tu..mchele kila kilo faida 200!..maharage faida kubwa mayb 300!...ss utauza kilo ngap hapo!...mie hata niokote hela duka hapana
ushawahi kuishi village au unaandka tu hapa!!!!! i wish u could know how village lyfe izLife in the village is Easy
You Plant,
You weed,
You harvest,
You eat
NO PROBLEM.