Niliacha kwenda kanisani baada ya kuona makanisa yanafungisha ndoa za jinsia moja kwa kigezo cha human rights, huku yakipinga ndoa za mitala

Angalia ukristo unasemaje sio wakristo wanafanyaje wao matendo yao kinyume na biblia sio juu yako kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake
 
😂😂😂hutaki shida
 
Kweli. Lakini kwanini ushoga unakuwa promoted kwa gharama kubwa?
Rejea maazimio ya freemason utapata jibu.

Ushoga ni shetani na ukiona kanisa au kiongozi wa dini anasapoti ushoga hilo ni kanisa au kiongozi wa dini ambae ni shetani.
Shetani ni mpinzani wa Mungu ndoa ni watu wawili wa jinsia mbili tofauti lengo kuu la shetani kupromote ushoga ni kuuwa familia shetani ataki kabisa mpango familia, familia ni ibada ya kumuabudu Mungu Kwa maana Mume ni kichwa mke ni msaidizi, shetani amevuruga mpango wa asili yaani ndoa kwa maana shetani ataki kabisa ndoa ,thus nyingi zinavunjika.
Hakuna dhambi inayomfurahisha sana shetani kama ushoga.
Hata wasaka utajiri wa kichawi Ili wapewe mali ni lzm wafanye ushoga kwa maana unamtoa kafara mzazi, mtoto au ndugu anafanywa msukule kisha unakuwa unamlawiti Ili shetani afurahi pesa ziongezeke,image unamlawiti mzazi wako au mtoto kumfurahisha shetani yapo kwenye Jamii haya.
 
Kanisa lolote linalosapoti ushoga hilo ni la shetani si la Mungu.
 
Mashehe wengi ni wapenzi wa kula jicho...eti suna

Tofauti na hao wanaofunga ndoa ni usiri(misikiti) na uwazi(makanisa).

Wewe mwabudu Mungu usifuate watu.
Comment ya kulipiza kisaai unajaribu kurusha na wewe dongo kwa waislamu ili wapate maumivu kama ulivyopata wewe, Hakuna Suna ya ushoga kwenye uislamu ni dhambi kubwa na limekewa vikali kwenye Quran na mtume .

Mwenye kufanya ushoga amekaidi makatazo ya Quran na ya mtume ,na mwenye kukaidi ametenda dhambi na mwenye kutenda dhambi makazi yake motoni.

No hard feelings pokea tu ukweli mkuu
 
Issue kama hiyo ilinitokea kwenye club moja darisalama niko nimekaa nakula mambo taratibu kupoteza muda mara wakatokea mablaza wawili wakakaa pale nilipo kwa muonekano ukiwacheki ni wanaume hata sauti zao za kiume ila sasa wanavyo behave iliniacha hoi kabisa wakaanza kuweka miguu mezani wakichat chat na simu nikasema hapa wananiharibia siku hawa ilinibidi nibadili kiwanja...
 
hivi hiyo kitu huwa ni suna kweli au masighara? na kama ni suna inakuwa vp suna, embu tupe muongozo sheighe
Asante kwa taarifa,hapa tunaelimishana tu na hakuna nia mbaya.

Ila napata shida kdg.Kanda ya Pwani ndio inaongoza kuwa na waislam wengi na ndio pia inaongoza kwa matendo ya ushoga(ata shehe mkuu wa Dsm ana kashfa hizi nyingi tu),ufugaji majini/ usomaji wa nyota(marehemu shehe Yahya...na hakuwahi kukemewa na waislam),waganga wengi ama hawana dini au ni waislam...

Swali...kwa nini mnaambatana sana na matendo ya giza/ushetani?
 
hivi hiyo kitu huwa ni suna kweli au masighara? na kama ni suna inakuwa vp suna, embu tupe muongozo sheighe
Asante kwa taarifa,hapa tunaelimishana tu na hakuna nia mbaya.

Ila napata shida kdg.Kanda ya Pwani ndio inaongoza kuwa na waislam wengi na ndio pia inaongoza kwa matendo ya ushoga(ata shehe mkuu wa Dsm ana kashfa hizi nyongi tu),ufugaji majini/ usomaji wa nyota(marehemu shehe Yahya...na hakuwahi kukemewa na waislam)...

Swali...kwa nini mnaambatana sana na matendo ya giza/ushetani?

Uenda ndio chanzo kikuu cha kufeli kwa vijana wa kiislam
 
Tuanzie hapa kwanza...unasema kanisa lako la Uingereza🧐
 
Unataka nikue mara ngapi? Au unataka uthibitisho gani kujua kuwa nimekua?

Unapotoa hoja acha kuleta personal attacks, unadhihirisha ufinyu wa fikra zako. Poleeeeeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
duh!! basi wee ushanogewa mazima, haya mambo ukishaonja au kuonjeshwa unanogewa mazima,

na vitu vinavyopingwa au kukatazwa kama cocaine, mirungi, sigara, nyeto, pombe, kula/kuliwa jicho na unga, huwa vina uraibu sana/addiction, na uraibu wake ni wa kiwango cha SGR, kuacha sio leo wala kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…