Niliacha pombe baada ya kukutana na mwanamke mwenye kalio nusu

Kwa hiyo ukaacha utamu wa bia kwa sababu ya kukutana na tako moko?Acha uzembe!Unapitwa na mambo mengi sana.
 
Kuna mdada mtaani kwetu alipataga ajali gari ilimkokota kutoka kituo kimoja hadi kingine

Muda wote alikuwa anaburuzwa kwenye lami akiwa kichalichali kwahiyo aliumia Sana mgongoni na hasa kwenye tako ndio nyama nyingi zilitoka kutokana na hali yake hatukudhani km angepona alikaa hospital km mwaka hv
Kipindi hicho alikuwa sekondali
Sasa Ni mdada mkubwa tu

Kwahiyo hizo Ni ajali tu km zingine palikuwa hakuna haja ya kuja kumsema huku

Anyway hujafa hujaumbika
 
Wewe ndo ulikunywa nyingi halafu yeye akakosea kutembea kwa maringo yao yale akatembea kama anapiga picha ya kubinua. Umeona sasa ndo mambo yakawa hivo[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…