Niliagiza chakula, ilivyokuja bili nusura nikimbie niwaache watoto. Umewahi kukumbana na fedheha hii?

Nimecheka sana, eti kamoja kiherehere, mie nakumbuka nikiwa kikazi Dom mida ya saa 4 usiku nikaingia saloon nikwangue nywele, ile kumaliza bei kaniambia buku 5 na kunyoa kwenyewe ovyo, iliniuma hiyo buku 5
Mkuu buku 5 mbona ndogo hiyo😂
 
Arusha kuna hotel moja ya kihuni nilifikia hapo nikaona viloba vya konyagi kipindi vipo, nikakata vitatu fasta nikaweka na maji natoa ten naambiwa hela haitoshi kiloba kimoja 5000 iliniuma acha tu
😂😂😂
 
🤣🤣🤣🤣 yaani umenichekesha mpaka watu hapa Target wamenishangaa sana!! 🤣🤣 kweli wewe rudi tu huko mikoani maisha ya Dar huyawezi!! 🤣🤣🤣
 
Asee mm nikienda sehem na familia kama Nina laki au chini ya laki , lazima nichukue menu nipige hesabu vyote wanavyovitaka kwa phone calculator ndipo nimuite waiter.
Ahh sitakagi mambo ya kuimbia familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…