Bongo kila kitu ni kuchakachua tu!
Iwe maji ya kunywa feki kibao, iwe sigara feki, iwe makalio ya wanawake nayo feki mtupu, bikira nazo feki, unga feki, hata kwenye kandanda nako siku hizi michongo mtupu n.k
Sasa sijui tukimbilie wapi, nimeagiza wine nikaambiwa ni alter wine!
Aisee nimejaribu kuitia mdomoni radha yake ni tofauti sana na nilivyozoea!
kwanza inachoma balaa kuanzia kooni hadi kwenye utumbo!
Yaani ukiibunda mdomoni inaunguza utumbo inavyotembea hadi tumboni!
Nahisi hii wine nimepigwa wallah sidhani kama ni ALTER WINE kweli!
Nimempa wife aonje kagida nusu glass tu hoi kalewachakali!
Bongo nimewavulia kofia kwa feki alooh!
Nilijua feki ni maji tu kumbe hadi kwenye pombe!
Nyau sana wote wanaotufanyia hivi!
Na sitaimwaga!