Niliambiwa chuoni wanawake ni wa kumwaga mbona mimi sipati?

DOTHRAK

Member
Joined
May 22, 2021
Posts
15
Reaction score
154
Dah ile vuuu!! Paaa si nikamaliza six mzee sahiyo akili inafahamu kuwa chuo ni bata na mademu wa kumwaga duh!!!.

Fresh mzee nikajitusu nikaomba mkopo Mungu Si MWENDAZAKE nikapata tena 100%. Basi mzee nikaingia Univ. Aisee hao mademu mbona siwaoni?

Aise mbona hata hizo bata ni za manati jamani. Au me nakosea wapi wakulungwa. Yaani kila orbit iko full of electron. Kila electron iko paired .
 
Ahaha yaani unamaliza miaka 3 ya degree hujawahi kula demu wa chuo KONYO zako.
 
Hao wanataka vitu viwili tu [emoji23][emoji23] darasani uwe vizuri uwe unajibu sana maswali utagombaniwa ili uwasaidie kuwaelekeza hasa mitihani ikikaribia maana wao mwalimu anavyofundisha wao hawana habari wapo bize kuchati na marafiki zao walio lala hostel huku wakichukua video wakiwa wanatoa viulimi nje na macho waonekane wazuri wenyewe wanaita snap chating[emoji23][emoji23] ila yote kwa yote mfuko uwe safi canteen uwe unanunua chips na mishikaki ya kuku kwa sana sasa mkuu kama we mwenyewe ukipiga wali ndondo saa tano mpaka jioni hao waangalie tu walivyopendeza maana ni hela tupu utawala ukimaliza chuo baada kupata ajira.
 
Chuo mademu wapo kuliko hizo stage za mwanzoni. Jana hapa nilikuwa na mtoto wa mtu mpaka saa 5 usiku nikamrudisha hostel kwao. Ile A level tulikuwa tunawavizia hospitali wao wanajifanya wanaumwa sisi tunatoroka. Au kwenye events nazo mnapiga stori mmevaa sare. Mpaka likizo ndio mkutane Mchikichini.

Sema nini hii wiki si tuna boom huwa hawaeleweki, wape mwezi hela zote watumie kusuka, bata na kuvaa. Sahivi mabiashara ya ovyo yanazunguka kila kitu free delivery, kila mmoja anasema nimeleta mzigo mpya.
 
Hao wanataka vitu viwili tu [emoji23][emoji23] darasani uwe vizuri uwe unajibu sana maswali utagombaniwa ili uwasaidie kuwaelekeza hasa mitihani ikikaribia maana wao mwalimu anavyofundisha wao hawana habari wapo bize kuchati na marafiki ...
Kuna wahuni wala mihogo na wana daka mademu tu
 

Bro hizo hela unazomaliza kwenye mbunye zitumie kwenye ukombozi wako.

Zi save halafu fanya biashara/uwekezaji ule uupendao.

Si unaona wenzako walivyo jobless, ipo siku utaujutia huo mtaji unaouchoma.

#YNWA
 
Ina maana hauna sifa yoyote inayoweza kuwafanya hao watoto kazi ya kuwapata iwe rahisi.jaribu basi kumtafuta demu yoyote alotendwa na play boy yoyote hapo chuoni siku za hivi karibuni jenga naye mazoea watu walojeruiwa ufanyaga lolote mradi tu kumuumiza mtu alokuwo naye,tumia njia hiyo dogo unaweza okota nanasi chini ya mkorosho
 
Samahani mkuu naomba kujua unasoma chuo gani na course gani?watoto wamejaa Hadi wanaharibika alafu unasema hawapo au mdomo mzito kidogo
 
Tumetofautiana mitazamo, mi sikuwaza kupendeza wala kudaka nyapu za wanachuo hao. Mi nliienjoy kula gambe kwa pesa ya boom na kujipooza na nyapu za viwanja tofaut tofauti. Hao watoto stress tu
Kula gambe dogo hutajutia matumizi mabovu ya boom lako.
 
Akili ni mbili(hujawahi kosa sept conference)

Pesa ya mkopo(ikiisha unakula mahindi/mihogo unasingizia hamu)

Swaga za ushirombo(unachomekea jeans, chini moka)

Sura kama mtanga(hujulikani unacheka au unalia).

Mademu waachie wenzako.

Hayo yote ni KAMA.
 
Mleta mada kumbuka wazazi wako na wadogo zako wanakutegemea wewe uwakomboe wewe unawaza anasa.
Usije pata ngoma ukaenda kusumbua familia yako.
Piga nyeto itakusaidia na utakuja kunishukuru baadae sana!
 
Waliposema ^kuna wanawake wengi,^ ilikuwa ni lugha ya picha, sawa!??? Walimaanisha vitabu ni vingi sana chuoni. Hapo upo!??? Kwa akili zako hizi, sishangai kuona wasomi wetu wengi wakihangaika na vyeti vya taaluma zao, day in and day out, wakitafuta kazi na ajira bila mafanikio.
 
Bro hizo hela unazomaliza kwenye mbunye zitumie kwenye ukombozi wako.

Zi save halafu fanya biashara/uwekezaji ule uupendao.

Si unaona wenzako walivyo jobless, ipo siku utaujutia huo mtaji unaouchoma.

#YNWA
Sex ni physical need tunafanya kwa afya. Hiyo ni sehemu ya matumizi kama kula na kuvaa. Savings na biashara zinafanyika pia kwa wanaoweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…