Niliambiwa wanaume hawapo JF

Kabisa sio kuamini pekee hata ukijua ndio ukweli huo sio kisa mimi mwanamke mmoja kanizingua ndio ni jumuishe wanawake wote.

Nitakuwa nakosea sana
Exactly, na ile kubadilika nafsi au matendo kisa umetendwa haifai kua wewe kama wewe ajae akupende hivo hivo na mapungufu yako ambayo aliepita alishindwa kuyastahmili

Uzuri wa mahusiano haya bubu u can quit anytime unapoona you have to,
 
Si ndo hapo shogaangu maisha yenyewe mafupi haya na tunaishi Mara moja,..em ongeza ya saba bili yangu..kuna vitu bhana kama Mungu ana mkono wake vitakuwa tuu,kama vya kufosi havifiki hata lukwili...
Ameen ameen [emoji120][emoji120] nilichokuelewa hapo kama Mungu atakuwa na mkono wake vitakuwa tu kingine niongeze beer ya 7 bill ikuje woooozeeer
 
Wanakuzingua tu hawana ishu ni kweli mtu aliniambia nika puuzia hawajanimegA asilimia kubwa wao ni wanaume za watu wanakutaka kwa kumegwa basi tu
 
Ameen ameen [emoji120][emoji120] nilichokuelewa hapo kama Mungu atakuwa na mkono wake vitakuwa tu kingine niongeze beer ya 7 bill ikuje woooozeeer
Bili juu yangu,..let's have fun tonight sweetpie wa mm....cheerful[emoji482][emoji482]
 
Exactly, na ile kubadilika nafsi au matendo kisa umetendwa haifai kua wewe kama wewe ajae akupende hivo hivo na mapungufu yako ambayo aliepita alishindwa kuyastahmili

Uzuri wa mahusiano haya bubu u can quit anytime unapoona you have to,
Kabisa unafikiri vizuri hongera kwa kutumia ubongo wako vizuri
 
Mungu abariki kazi za mikono yetu kesho tupate dou ya bierree[emoji482][emoji482][emoji482]
Ameen lovie atubariki mpaka tushangae [emoji120][emoji120][emoji120][emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…