Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,171
- 34,394
Exactly, na ile kubadilika nafsi au matendo kisa umetendwa haifai kua wewe kama wewe ajae akupende hivo hivo na mapungufu yako ambayo aliepita alishindwa kuyastahmiliKabisa sio kuamini pekee hata ukijua ndio ukweli huo sio kisa mimi mwanamke mmoja kanizingua ndio ni jumuishe wanawake wote.
Nitakuwa nakosea sana
Uzuri wa mahusiano haya bubu u can quit anytime unapoona you have to,