Niliambiwa wanaume hawapo JF

Usikate tamaa mapema,wapo tu wenye akili zao sema tu umeanguka kwa watu wasiho sahihi,endelea kitafuta utapa Mr Right.
 
HUMU NI WANAUME ZA WATU TU KWA HIYO BECARE NO MAN WILL BE SERIOUS INSIDE HERE BECAUSE ALL OF THEM ARE MARRIED

Sio wote wameoa bhana. Kuna vijana mabrobaro wengi sana tena vingine vidogo sana kushirikishwa haya mambo.

Kuna wengi single and honest, single but occupied, single committed, single for their own sake.

ANGALIZO: Kuna fisi wanasubiri mzoga udondoke wale washibe, wako wasioshiba nyumbani so lazima ajifanye anaenda dukani kumbe anaenda mama ntilie kuongeza chapati mbili na supu.
 
Shunie humu hakuna ndoa sijawahi kuwaza hilo ila jua humu utaliwa utachezewa watakukimbia nimesanuka mapema
 
Kwa ili picha ulorusha humu utatumika sana kama utakuwa mwepesi ila pole sana
 
Shunie humu hakuna ndoa sijawahi kuwaza hilo ila jua humu utaliwa utachezewa watakukimbia nimesanuka mapema
Kababy, hebu relax

Ndoa kama umepangiwa utaolewa mama, watu wanakutana facebook wnaaoana nini jf?? Umekutana na huyo kakutenda mbona unajisahau? Kua samaki mmoja akioza ndoo wote?? Jf ni sinia pakua unachoweza sio kila mahusiano yataishia ndoa shukuru umegundua mapema kunywa maji, pumua, ishi maisha yako
 
Mimi sijaliwa humu wala sijaumuzwa nimeona tu huku hakuna dili kila anayekuja hanipendezi yanini nikae kimya kila.mtu anakuja na vijistress wengine wamejichokea wengine ngono tu wengine hawajui wanachokitaka yaani sasa kwanini uhangaike ningeliwa nisingeongea ninaibu
 
Hapana mimi binafsi siwezi mfanyia mwingine kile nisicho penda na kutarajia kufanyiwa

WALIO MLIZA WAMEKOSEA SANA .
Na hayo ndio mapenzi, kutotenda kile ambacho ukitendewa roho itakuuma, tatizo tunajisahau sana na yakitokea kama haya tunasema ni changamoto tu za kimahusiano, ameshaanguka anyanyuke ajifute vumbi maisha lazima yasonge

Ajiulize tu kabla ya huyo alikua anaishije? Kwa nn ashindwe kuishi baada ya yeye kuondoka? Muda utamponya atasahau tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…