King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Usikate tamaa mapema,wapo tu wenye akili zao sema tu umeanguka kwa watu wasiho sahihi,endelea kitafuta utapa Mr Right.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazana anaweza badili maamuzihata mimi hunitaki??
HUMU NI WANAUME ZA WATU TU KWA HIYO BECARE NO MAN WILL BE SERIOUS INSIDE HERE BECAUSE ALL OF THEM ARE MARRIED
Si wote wanatumia .Haha mbona wanatumia? Ombi lako limekubaliwa bila hiyana shaka ondoa
Aaamin inshallah, haya bwana ndio hivo mshamliza mtoto wa watuSi wote wanatumia .
Asante kwa kukubali ombi langu sote tubarikiwe
UsijaliNaomba niitie hao uliowataja niwaone
Kwa ili picha ulorusha humu utatumika sana kama utakuwa mwepesi ila pole sanaYaani nimeamini nikiandikiwaga message kwamba hakuna kupata mtu wakutulia naye jf nimekuja kukubali hapa nikupotezeana muda from now i will focus in my life.
Ipo siku Mungu atanipatia wangu ila isiwe humu dah hii ni kali
Nitakuwa naamini kitu ambacho hakipo.
Kweli
Bas kamtolee Mungu sadakaNo sijapatwa nimeshtuka
Kababy, hebu relaxShunie humu hakuna ndoa sijawahi kuwaza hilo ila jua humu utaliwa utachezewa watakukimbia nimesanuka mapema
Hee hadi wewe dadayangu kumbe bila bilaAchana nao karibu kitaa
Hapana mimi binafsi siwezi mfanyia mwingine kile nisicho penda na kutarajia kufanyiwaAaamin inshallah, haya bwana ndio hivo mshamliza mtoto wa watu
nasubiria hapa akikataa nakuja kwako yu knowKazana anaweza badili maamuzi
Hahaha naona unajpigia pande broPole kwa yaliyo kukuta
Sisi bado tupo wa kweli na waaminifu
People are not the same and will never be
Hapana naandika ukweli tu broHahaha naona unajpigia pande bro
Na hayo ndio mapenzi, kutotenda kile ambacho ukitendewa roho itakuuma, tatizo tunajisahau sana na yakitokea kama haya tunasema ni changamoto tu za kimahusiano, ameshaanguka anyanyuke ajifute vumbi maisha lazima yasongeHapana mimi binafsi siwezi mfanyia mwingine kile nisicho penda na kutarajia kufanyiwa
WALIO MLIZA WAMEKOSEA SANA .
NATAFUTA MKE, [NAMAANISHA]HUMU NI WANAUME ZA WATU TU KWA HIYO BECARE NO MAN WILL BE SERIOUS INSIDE HERE BECAUSE ALL OF THEM ARE MARRIED