Niliamua Kuitest Nissan Dualis barabarani

Na nyimbo za kijerumani wapi na wapi mzee..tuacheni uongo..em tuma picha ikiwa na plate number ..maana nimezoom kwenye screen naona miziki ya kidautch...
Du gidume nimecheka sana lkn ngoja tusubirie Plate Number tumalize ubishi
hiyo picha ingine kwenye seat ya abiria k
 

Attachments

  • 1608122724767.png
    382 KB · Views: 33
Huyo jamaa hazijui Xtrail achana nae. Ukiona gari namba "A" inadunda kama mpya elewa hiyo gari ni nzuri
 
Bado elimu kuhusu cc za magari inabidi itolewe sana,sasa una kagari ka cc 2000 unaweka ligi na la cc 2500 mpaka 3000 unampita yeye anakuangalia unajisifu,sema hao uliowapita hawajaamua kukaza roho walikuwa wanakuangalia tu.
 
Waliondesha Mercedes waulizeni hasa zile za 320/kph. Mtambo huo. Ukikimbia kifua kinagusa chini!
Hivi top speed ya 320km/h unaifahamu mkuu?

Hebu angalia benz models ambazo zinafikia top speed hio na uniambie unaziona hizo gari ziko ngapi hapa bongo mkuu.
 
Bado elimu kuhusu cc za magari inabidi itolewe sana,sasa una kagari ka cc 2000 unaweka ligi na la cc 2500 mpaka 3000 unampita yeye anakuangalia unajisifu,sema hao uliowapita hawajaamua kukaza roho walikuwa wanakuangalia tu.
Me ndhani uanzishwe uzi maalumu wa kuelimisha watu maana ya CC, HP, power to weight ratio, Uhusiano uliopo kati ya CC na HP ni upi..?
Wakati gani mtu atambe na CC zake kuubwa na ni wakati gani Mwenye HP kubwa atambe...
Bado tuna safari ndefu...

Elimu ya CC na Hp ikikaa vizuri nadhani watu hawatakaa wakibishana tena kuhusu mambio..

Kwa mfano Mazda RX 8 kama sikosei, ina Cc zisizozidi 1300 lakini hizo CC 2500 za kwenye Brevis au Crown hazifui dafu kwa hiyo Mazda....

Nissan GTR yenye VQ35 ina CC 3500 mpaka 3700....Hizo V8 zitasoma namba tu hapa

Hapo ndiyo linakuja suala la HP na Power to weight ratio...

Kwa hiyo usije ukawa na CC kuubwa ukadhani ndiyo kila kitu..
 
Kuna gari nyingi zipo na CC 2000 zinakamua zenye CC 3500 na kuendelea.

Baada ya kugundua uchawi wa power to weight ratio, hizi VX V8 hazinitishi.
 
upo sahihi kabisa, wengi wetu humu hatujui tofauti zake, ila kuna usi tulichangia humu kuhusu Horse power nahisi Mada za magari wa Mshana Jr nikiupata nitauleta.
Member wajue kuna yale mashindano Dakar -Paris (sijui km yanaendelea miaka hii) kuna gari za uwezo tofauti mpaka pikipiki na zinawekwa makundi tofauti na kushinda tofauti.
unaweza kuwa na ma-hp kibao au cc kubwa ukataga kwenye tope dogo
au ukaendesha kwenye lami Dar - Singida lakini ukakwama njia ya vumbi (off road) huku kwetu madongo kwinama, kuna member kasema kuna maVX yalikwama hapo Msumbiji ikaja Land rover 110 ikakata tope
 
Nissan dualis inakuja na gear box ya cvt (yaan continuous variable transmission) gear box hii ubalishaji wake wa gear ni tofauti na normal automatic gear box.. so with cvt gari inachanganya fasta na hata wakati wa ku overtake huwazi... Changamoto na angalizo... Cvt gearbox za nissan ni very weak kwakua hazijawa designed for high engine torque (yaan kukanyaga gas pedal mpaka chini ili gari ichangamye fast) zimekua designed for fuel efficiency.. so be careful maana uta kuja kuharibu gearbox yako prematurely..

Pia for proper gear box mantainance ya nissan dualis, hakikisha una tumia recommend gearbox fluid iliyo andikwa kwemye deepstick au user manual yako.
 
Hujakutana na VX V8 mkuu? Hawa jamaa wanatembea aise. Unaichapa mashine 190kph halafu bado wanakuchapa kama umesimama sina ham nao. Unakaza pedal mpaka tako lakini ndio kwanza inazidi kupotea
Umesahau kuwa Engine Capacity ya VX V8 ni kubwa sana na acceleration yake in 30 seconds is remarkable.Leave alone confortability sasa barabarani huwa tunaziita ndege ya chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…