Hajaendesha subaru XT huu ni moto mwingine kabsaHaukuwa na tofauti na mabasi, tena huenda mabasi mengi yalikuacha.. maana mabasi yanatoka dar saa 12 asubuhi na kufika singida saa 12 jioni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajaendesha subaru XT huu ni moto mwingine kabsaHaukuwa na tofauti na mabasi, tena huenda mabasi mengi yalikuacha.. maana mabasi yanatoka dar saa 12 asubuhi na kufika singida saa 12 jioni
Ipo wapi baba lao Marcedes Benz A 45 S AMG 4Matic?Hizo gari zenu zote mnazozitaja hazipo katika ubingwa wenu wa barabarani, iwe horsepower/cc, uzito au ukubwa wagari, maana naona mnazungumzia kuwahi Mwanza kushindana na Dualis
hapa tnaona Toyota Yaris GRMN akiwachapa wote
Best hot hatches 2020
- Honda Civic Type R.
- Renault Megane R.S.
- Ford Fiesta ST.
- Focus ST.
- Toyota Yaris GRMN.
- Volkswagen Golf R Performance Pack.
- Hyundai i30N Performance.
- Volkswagen Up GTI.
sawa kabisa VW anampita Crown anayesifiwa kwa speed km kasimamaHiyo iliyopita ilikuwa Vw mjerumani? Hii ni crown?
lakini huyu pia 180 siyo padogo
Bavaria Marcedes yupo kwenye list kule nafasi ya 7 ila kuna mwaka VW alitupwa lkn wakasema bado ni the best saller na kuna mahali naona yupo Africa kusini na Marekani tu, lkn hapa Tanzania GTI wapoIpo wapi baba lao Marcedes Benz A 45 S AMG 4Matic?
Mkuu kuna mtu anaitwa Hiromu Naruse (Meister of Nurburg) huyu ndie kafanya makubwa sana Toyota na Nurburging. Alikuwa ni fundi na dereva wa kutest gari za Toyota.Cheki video moja jamaa wa audi r8 akisumbuana na 1l bike kulikuwa na yamaha R1 nahisi na honda cbr 1000 ....ile audi iko njema wanamwagika sana
Au cheki video za ule uwanja nurbugring ni hatar
Mkuu Subaru WRX na STI zimetengenezwa Kwa ajili ya performance na Rally.Si ndo hizo mnafanyia tunning & mapping?
Full tank tsh 120,000 lita55
Inawezekana ni kweli mkuu..Dar to Singida ni zaidi ya KM 540.
Engine CC 1990.
Mwendo wa ligi.
Utumie mafuta ya Tsh 120,000 tu Dar to Singida?!!!!
I am Doubtful!
Dhuu pole yake ..i hope wanafidia familia yake,,,...ile bara barabara huwa nawishi nipite nikiwa kwenye 911 hiwa sijui wanatoza sh ngap kuendeshwa ... niliona 911 imetumia dk 6Mkuu kuna mtu anaitwa Hiromu Naruse (Meister of Nurburg) huyu ndie kafanya makubwa sana Toyota na Nurburging. Alikuwa ni fundi na dereva wa kutest gari za Toyota.
Huyu kawachachafya sana wazungu akiwa na Toyota mpaka wazungu wakaheshimu uzao wa Toyota Gazoo.
Wajerumani wakampa heshima ya kumuita Meister (Master) of Nurburg. Huyu ndio moja ya waasi wa tunning za kibabe za Toyota Gazoo Racing Meister of Nurburging (GRMN) na alitia mkono kwenye Supra toleo la mwisho lenye JZ Engines.
Huyu mwamba aliogopeka sana alipewa test drive mpaka na kampuni nyingi za magari.
Alifariki akiwa ana test Lexus LFA baada ya kugongana na BMW.
Sijakuelewa ...tatizo ni nn ..ni hesabu zipi unataka nipige 😁 kwamba namna tulivomkata au unataka semajeMkuu hiyo HZ 4.2 L nenda kimahesabu usishabikie magari yajue na kuyaelewa
Meister Naruse umri ulikuwa umeenda alikuwa 60+, alikuwa ana kauli tata akipewa test drive "gari hii inaweza kutorudi tena ilipotoka."Dhuu pole yake ..i hope wanafidia familia yake,,,...ile bara barabara huwa nawishi nipite nikiwa kwenye 911 hiwa sijui wanatoza sh ngap kuendeshwa ... niliona 911 imetumia dk 6
Nilitaka kuuliza hivyo, je dereva subaru alikuwa willing na ligi au ulipita ukaenda zako na ye alikuwa na issue zakeMkuu samahani kidogo hyo subaru ulio ichapa ni ipi.maana subaru ni mziki mzito au dere mchovu
Inawezekana ni kweli mkuu..
Km540 ÷ Lita 55 unapata 9.8 tukikadiria imakuwa 10...
Hii inamaana kila KM10, alitumia lita 1 ya mafuta vile alikuwa anafanya ligi..
Ingekuwa si ligi huenda angepata Km 12 mpka 14 kwa lita 1..
Mkuu nissan Dualis ina kabodi kadogo engine kubwa, hibyo engime haipati mzigo mkubwa..Ingekuwa si ligi angepata km 12 hadi 14 kwa Lita?!! Engine CC 1990.
Kumbe ni sawa na Toyota Vits tu yenye engine cc 1290.
Mkuu nissan Dualis ina kabodi kadogo engine kubwa, hibyo engime haipati mzigo mkubwa..
Kwa uendeshaji mzuri highway tuchukulie speed 90 mpwka 110 hiyo gari anaweza kupata km 12-14 kwa lita..
Gari lolote ukicheza vizuri na RPM bila ligi utaona unafuu mkubwa sana wa mafuta..
Najua itakuwa ngumu kukubali lakini huo mdiyo ukweli..
Mwisho wa siku tuelewe magari ya siku hizi si yale ya zamani, unaweza kuona cc kubwa lakini mafuta yanatumika kawaida kulingana na teknolojia zilivyoboreshwa
kwa haya magari yetu ya Bongo sijaona km Mjerumani VW iwe sedan au pick up labda huko nje ya TZ
View attachment 1649025
cc grizzman, @Muebrainia Halisi
Inawezekana ni kweli mkuu..
Km540 ÷ Lita 55 unapata 9.8 tukikadiria imakuwa 10...
Hii inamaana kila KM10, alitumia lita 1 ya mafuta vile alikuwa anafanya ligi..
Ingekuwa si ligi huenda angepata Km 12 mpka 14 kwa lita 1..
Dar to Singida ni zaidi ya KM 540.
Engine CC 1990.
Utumie mafuta ya Tsh 120,000 tu Dar to Singida?!!!!
Kwa kesi ya Km 700 sina pingamizi, ila kama alitembea hizo km 540 kweli, inawezekana kuna ukweli fulaniJamani Dar-es-salaam mpaka Singida ni 700km lazima angeongezea mafuta hata Dodoma maana pale ni 450km toka Dar halafu pana 100km Manyoni ongeza Manyoni singida 145km kama kilomita 695 kwa Google Map.
mm nilichoka tu zile faini za 100,000/ kwa penalty za Traffic nikaomba ndimu niweke kwenye chai yangu sasa mgari una cc2000 hata uwe kama Tesla au Vvti kilomita 540 hutoboi lita 55
View attachment 1649759
View attachment 1649761nge
Dsm - Manyoni ndio 550km, sasa kuna kakijiji cha wale wenye Ukoma tangu Mkoloni kipo 540km kabla ya Manyoni sikikumbuki jina labda Google, lkn km alikuwa na zile reserve baada ya taa kuwaka kuna lita 10 inawezekana kwa lita 60 x 12km/l ni 720 (kwa gari za cc1490 au Dualis iwe ina Vvti kwa hizo cc1990)Kwa kesi ya Km 700 sina pingamizi, ila kama alitembea hizo km 540 kweli, inawezekana kuna ukweli fulani