Mmenichekesha sana na comment zenu looh.
Kiufupi napenda sana kundesha gari na napenda ligi ila kuna muda hjwa nasema je likitokea la kutokea.......!! Naanza kiwakumbuka wote waliokwishaniambia wananipenda, nafikiria vile watakuwa wanalia kwa uchungu nikiwa nimekufa kwa ajali......
Basi narudisha kisigino nyuma naanza kwenda mwendo wa kibalozi km 80 pale inapobidi, na 50 mpaka 30 pale nnapotakiwa kutii.
Na safari za nje ya Dar nikiwa naendesha binafsi huwa naifanya sehemu ya starehe, ambapo mwendo usio na ligi unaniondolea stress za kuovertake na kukaza tako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]