Ukiingia youtube kuna jamaa anajiita AutotopPnL.
Huyu jamaa ana balaa si kitoto. Anaendesha gari zake Autobhan.
Mjinga speed zake kuanzia 180kph kuna wakati anafikisha mpaka 300kph comfortably.
Aliwahi maliza kisahani cha Bentley Flying Spur zaidi ya 330kph.
Cheki video moja jamaa wa audi r8 akisumbuana na 1l bike kulikuwa na yamaha R1 nahisi na honda cbr 1000 ....ile audi iko njema wanamwagika sana
Au cheki video za ule uwanja nurbugring ni hatar