Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Twende mbele turudi nyuma.Mashine ni M5 4.4 L twin turbo V8 engine, nimewahi kuendesha hii gari from Dar to Mbeya napita ilula jamaa yupo na cruiser HZ ilikuwa DFP yupo na mzungu akaanza ligi nikamfurahisha na cruiser lake alikuja kunikuta Igurusi akasimama akaja kuangalia ile gari hakuamini kama ingemfunika vile akaomba rematch mpaka naingia mbeya hakuniona nilipopita[emoji23] GERMAN CARS ARE THE BEST
Porsche 911 Turbo S ni 3.8L ila performance yake ni levels za Lamborghini au Ferrari.
Hata hiyo BMW M5 haifiki hizo levels.