Niliamua Kuitest Nissan Dualis barabarani

Na nyimbo za kijerumani wapi na wapi mzee..tuacheni uongo..em tuma picha ikiwa na plate number [emoji23][emoji23][emoji23]..maana nimezoom kwenye screen naona miziki ya kidautch...[emoji1787][emoji1787]
Na huku utataka utumiwe na plate no mkuu uhakikishe ni mimi[emoji23][emoji23][emoji23]!! Punguza akili za kimasikini maisha yangu na yako ni kama mbingu na ardhi karibu chuga wasalimie na wenzako
 
Na huku utataka utumiwe na plate no mkuu uhakikishe ni mimi[emoji23][emoji23][emoji23]!! Punguza akili za kimasikini maisha yangu na yako ni kama mbingu na ardhi karibu chuga wasalimie na wenzakoView attachment 1654177

Sio shida..hatuna sbb ya kupinga the way you live..kikubwa tunataka tunakikishe bmw M5 yako [emoji28]
 
[emoji1787][emoji1787] hawezi sbb amedownload picha mtandaoni..
JF kila mtu tajiri, kila mtu qnaishi Dar, Kila mtu ameshawahi kukaa Ulaya/USA, Kila mtu ana ndinga kali,[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Unaweza ukawa unabishana na mtu hapa, kumbe ni mlisha nguruwe nyumba ya pili kwa mzee Mosha hapo..[emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Long live dualis.....lakin tuangalie huu mwezi sio poa kwa ligi
 

Na kweli aisee [emoji13]
 
In short ni kwamba,Nissan dualis haiwezi ku perform better than crown in any way possible.In practice or Even in a theoretical way-Nissan dualis haiwez kuwa na muscle za kupambana na Nissan patrol-Any logical person atakushangaa based on your arguments.
Based on the distance between Dar & Singida,kuweza kucover hyo distance inahitaji a constant speed of not less than 100km/hr plus ambayo kwa mchana its nearly impossible unless unaendeshea kwenye barabara za Ulaya.
Kama ulitumia 100'000 out of 150'000 it means ulisimamishwa sana road na traffic na maongezi ya kuhonga yalikuwepo ambayo infact ni sehemu ya kupoteza muda,achilia mbali ubovu wa barabara na jam ndogondogo barabaran,Swali ni Je,Ulikuwa unawarushia traffic hela hewan bila kusimama ili usipoteze muda njiani na kuweza ku maintain hiyo 100+km/hr?
In practice-unachokiongelea ni habari za kufikirika kwa yeyote mwenye akili timamu,How on earth dualis limekuwa a muscular can on the road? 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁
 
Dar dodoma Mara nyingi Ni 5-6 Hadi 7...hours..labda Kama alikua anatembea Kama mwehu..
Dar - dom kuna 442Km.. akikuja goti vizuri na akafanikiwa tembea kwa 100 - 120 kwa sehemu kubwa.. msaa 5 : 30. Anafika.. dodoma to singida kuna 245Km kama anatembea kwa hiyo hiyo 100-120 kwa sehemu kubwa.. masaa 2 :30.. ukipiga jumla masaa 8 inakuwa ina sound.. maana kuna Trafic, mipishano ya gari, vifoleni uchwara, etc.. zinaweza badirisha hali ya hewa
 
Maximum mkuu...100, 120, 130 Kama penyooka 140,150 mwisho..ukiweza nipita hapo nakuacha uende..Sasa huenda jamaa alikutana na watu Kama Mimi akajiona yy Ni mwamba
Kuna gari zingine ukifika 100.. aaaah! Yaani ile mia ya ukweli ukweli.. unaishia hapo hapo ukivuta sana 120.. unarudisha mguu.. ila kuna zingine unagusa kabisa hata 180 haufeel kitu
 
Umewaza kama mm mkuu kwenye kusimamishwa na traffic it's means kuna maswali na maongez yawepo mpaka ww kuwaonga sio chini ya dakika kumi na zaid maana haiji akili usimamishwe na traffic ww ushatoa pesa unawapa ni hard Lazma wakuhoji na kwa kiasi alichotumia inamaana alisimamishwa Sana barabarani na huko ni wastage of Time , je kivipi aliweza kucover huo mda mpaka anafika Dar inahitaji kufikiri kwa kina umetuacha na alama ya kuuliza na Nissan Dualis
 

Wengi wanaolalamikia Nissan hasa X-Trail, wanafanyia service za engine na gear box kwenye garage bubu za mtaani ambako oil fake ni nyingi sana. Nissan ukiilisha oil fake unaiua fasta sana. Angalau Toyota zina uvumilivu fulani, but na yenyewe kuna siku engine na gear box zitaanza kusumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…