Niliamua Kuitest Nissan Dualis barabarani

Niliamua Kuitest Nissan Dualis barabarani

JF kila mtu tajiri, kila mtu qnaishi Dar, Kila mtu ameshawahi kukaa Ulaya/USA, Kila mtu ana ndinga kali,[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Unaweza ukawa unabishana na mtu hapa, kumbe ni mlisha nguruwe nyumba ya pili kwa mzee Mosha hapo..[emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji28][emoji28][emoji849][emoji28][emoji23]
 
Ewaaaa ukiwa na huyo mnyama unapeta huna wasiwasi wewe utakua unashinda na polepole tu na gari zenye sifa kubwa.
Mie saahivi ndoto yangu ni kuimiliki VW Polo GTi, ili niwanyooshe wote hao kina Subaru and co. [emoji23]

Au nasema uongo mkuu feyzal mzee wa VW [emoji3]
 
Nissan dualis inakuja na gear box ya cvt (yaan continuous variable transmission) gear box hii ubalishaji wake wa gear ni tofauti na normal automatic gear box.. so with cvt gari inachanganya fasta na hata wakati wa ku overtake huwazi... Changamoto na angalizo... Cvt gearbox za nissan ni very weak kwakua hazijawa designed for high engine torque (yaan kukanyaga gas pedal mpaka chini ili gari ichangamye fast) zimekua designed for fuel efficiency.. so be careful maana uta kuja kuharibu gearbox yako prematurely..

Pia for proper gear box mantainance ya nissan dualis, hakikisha una tumia recommend gearbox fluid iliyo andikwa kwemye deepstick au user manual yako.
Ushauri mzuri...
 
Umewaza kama mm mkuu kwenye kusimamishwa na traffic it's means kuna maswali na maongez yawepo mpaka ww kuwaonga sio chini ya dakika kumi na zaid maana haiji akili usimamishwe na traffic ww ushatoa pesa unawapa ni hard Lazma wakuhoji na kwa kiasi alichotumia inamaana alisimamishwa Sana barabarani na huko ni wastage of Time , je kivipi aliweza kucover huo mda mpaka anafika Dar inahitaji kufikiri kwa kina umetuacha na alama ya kuuliza na Nissan Dualis
Kwa ufupi, hadithi ya jamaa SIYO KWELI kwa mazingira yetu kwa sasa.
Expressway ambazo zinaruhusu speed kubwa non-stop bahati mbaya HAZIPO Tanzania, tunapishana humo humo lorries, buses, suv etc
 
Kama ulikimbizana na nissan patrol tena kavu(DFP bila shaka ni TD42)basi wewe ni muoga kwa ninavyoijua patrol ilivyo nzito kuchanganya eti ilikusumbua!
 
Huyo mwenye Nissan patrol hakutaka tu kukimbiza gari,angetaka hata mkiani usingfuata.
Ndugu nissan patrol td42 bora hata 1hz inajitahidi labda zile za petrol au turbo lakini mdau kasema ni DFP hilo ni kavu na halina maajabu.
 
Germany kule autobhan ...hio sijui cruza v8 ni takataka interms of speed ..kule niliona 1L bike zinasumbuliwa Sana ... Hadi waliacha production ya 600cc bike 4cyl kwamba hazina speed ila speed ake huku bongo sioni wa kukufata [emoji16] ila kule ni ndogo sana hiyo...cha ajabu pia watu huku wanapanda gari ya cc 650 wako wa nne eg alto , terious kid ...hizo kule ni cc za piki piki ....bongo mtu akiwa na honda 250 anaona yuko masaa[emoji16]
Hapo umemaliza mkuu
 
Huyu jamaa kwanz aliandaa pesa za gai ni ambazo hao aliowakuta njiani pengine hawakupanga kuja kupigwa faini wala kwenda mwendo anaosemea huyu jamaa ila yote tuyaache hilo kopo dualis ni gari ambazo zimefeli kiufupi mtu mwny akili na anayefaham magar vzr hanunui dualis afadhali kdg na xtrail new model ila hizo nawawekea athlete crown wala sitafuti hizo zingine huyo Tu anawatosha km tunapanga mashindano hamtoboi
 
Alichosema ni kweli Dualis ni gari ya kimanzi! Ilivyokaa kaa tu imekaa kama kigari flani cha mdada classic kama teller wa bank au afisa mahusiano Voda!
Bora umetupa maneno sisi tunaomiliki Baskeli za swala
 
Yani unakuta mtu anaendesha barabarani Kwa Raha zake, unampita, afu unadai ilikua ni ligi.
Au ulikua unawaambia tunashindana.!?
 
Back
Top Bottom