Niliamua Kuitest Nissan Dualis barabarani

Hujakutana na VX V8 mkuu? Hawa jamaa wanatembea aise. Unaichapa mashine 190kph halafu bado wanakuchapa kama umesimama sina ham nao. Unakaza pedal mpaka tako lakini ndio kwanza inazidi kupotea

Hiyo level nyingine mzazi..! Hawq wajumbe ni hatari sana barabarani...! Mie sitakagi ligi sehemu za watu wengi njiani siwezagi ila soon nitatest mitambo japo yangu fupi sana bumps nitaziheshimu
 
RIP in advance
 
aminia 747 bingwa mtetezi wa Nissan xtrail πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Lazima utakua unamiliki xtrail..sasa sijui ndugu utakua unaenda tengeneza Japan....nadhan katika SUV cheap hii inaongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…