Exogenous Factor
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 1,401
- 2,336
Huyo mnyama achana nae, tulipishana nae tukiwa na Audi, tulikuwa tunaenda mtwara,barabara nyeupe mixer pori asee jamaa alitoka huko alikotokea in a minute Alikuwa ashapotea kwenye anga zetu. Tulikuwa tunatembea 160-180/kph
Hujakutana na VX V8 mkuu? Hawa jamaa wanatembea aise. Unaichapa mashine 190kph halafu bado wanakuchapa kama umesimama sina ham nao. Unakaza pedal mpaka tako lakini ndio kwanza inazidi kupotea