Exogenous Factor
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 1,401
- 2,336
Hujakutana na VX V8 mkuu? Hawa jamaa wanatembea aise. Unaichapa mashine 190kph halafu bado wanakuchapa kama umesimama sina ham nao. Unakaza pedal mpaka tako lakini ndio kwanza inazidi kupotea
Huyo mnyama achana nae, tulipishana nae tukiwa na Audi, tulikuwa tunaenda mtwara,barabara nyeupe mixer pori asee jamaa alitoka huko alikotokea in a minute Alikuwa ashapotea kwenye anga zetu. Tulikuwa tunatembea 160-180/kph
jamaa yangu hiyo green hapo katikati sio gear hizo mbona bado 0, halafu tank ni empty upo gereji mguu mmoja juu, badiliSubi. STI.. yaani hapo hizo vx v8 tunasumbuama sio zinanisumbuaView attachment 1643021
Sorry Mkuu hii gari ipo Gereji au barabarani? maana Mafuta ni E na km ni Auto hapo kwenye green pana matatizo haitaweza shindana na VX, wakati gari naiona Odomita ina kilomita 9800 basi ni kapya lkn karudi Gereji km kametokaSubi. STI.. yaani hapo hizo vx v8 tunasumbuama sio zinanisumbuaView attachment 1643021
Ipo barabarani mkuu mafuta ni kweli haina na ni manua 6 speed gearbox .ni nzima kabisa hyo gari haina tatizo safari popote kama una gari yako ya uhakika ifatejamaa yangu hiyo green hapo katikati sio gear hizo mbona bado 0, halafu tank ni empty upo gereji mguu mmoja juu, badili
Sorry Mkuu hii gari ipo Gereji au barabarani? maana Mafuta ni E na km ni Auto hapo kwenye green pana matatizo haitaweza shindana na VX, wakati gari naiona Odomita ina kilomita 9800 basi ni kapya lkn karudi Gereji km kametoka
Mwenzako katoka Dsm na Duelis mpaka singida hajakutana na VX wakati njia ya Dar Moro Dodoma zimejazana hayo magari ya viongozi yasiyosimamishwa na Traffic
umeipenda sana hiyo kukaza tako eeh, [emoji3][emoji3]Mmenichekesha sana na comment zenu looh.
Kiufupi napenda sana kundesha gari na napenda ligi ila kuna muda hjwa nasema je likitokea la kutokea.......!! Naanza kiwakumbuka wote waliokwishaniambia wananipenda, nafikiria vile watakuwa wanalia kwa uchungu nikiwa nimekufa kwa ajali......
Basi narudisha kisigino nyuma naanza kwenda mwendo wa kibalozi km 80 pale inapobidi, na 50 mpaka 30 pale nnapotakiwa kutii.
Na safari za nje ya Dar nikiwa naendesha binafsi huwa naifanya sehemu ya starehe, ambapo mwendo usio na ligi unaniondolea stress za kuovertake na kukaza tako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anamaanisha kuwa utaendelea na huo mchezo na mwisho wa siku utaliwa kichwa!Nilishafika salama boss
Ungepanda bus ungefika sgd saa11:30 kwa muda ulioondokea darSaa 7.45 nilikua Singida, nilitoka saa 12
Hizo gari zote za kirembo tuDualis gari ya kike hio mwanaume endesha murano, xtrail
Kwahizo RPM sheli lazma iwe eneo rafiki na wewe π....Subi. STI.. yaani hapo hizo vx v8 tunasumbuama sio zinanisumbuaView attachment 1643021
Ndo nnawai sheliKwahizo RPM sheli lazma iwe eneo rafiki na wewe [emoji13]....
Gari inachezea 5-7 kmmmk sio kwa poor mileage hio. Hapo ikijitahidi sana ni 4.5km/l bila shaka. STi Gas Guzzler!!!
Unapata wapi ujasiri wa kutembelea robo tank humo[emoji23][emoji23][emoji23]
Aaahahhahahahaaa saanaaaaa ujue hadi nimefanya majaribio aahahahahahhahahaaaaumeipenda sana hiyo kukaza tako eeh, [emoji3][emoji3]
Cc ngapi?
I expected to see you here π)Cc ngapi?
Kukaza nini? ππMmenichekesha sana na comment zenu looh.
Kiufupi napenda sana kundesha gari na napenda ligi ila kuna muda hjwa nasema je likitokea la kutokea.......!! Naanza kiwakumbuka wote waliokwishaniambia wananipenda, nafikiria vile watakuwa wanalia kwa uchungu nikiwa nimekufa kwa ajali......
Basi narudisha kisigino nyuma naanza kwenda mwendo wa kibalozi km 80 pale inapobidi, na 50 mpaka 30 pale nnapotakiwa kutii.
Na safari za nje ya Dar nikiwa naendesha binafsi huwa naifanya sehemu ya starehe, ambapo mwendo usio na ligi unaniondolea stress za kuovertake na kukaza tako π€£π€£π€£π€£
WameelewaKuna muda hjwa nasema je likitokea la kutokea.......!! Naanza kiwakumbuka wote waliokwishaniambia wananipenda, nafikiria vile watakuwa wanalia kwa uchungu nikiwa nimekufa kwa ajali......
Basi narudisha kisigino nyuma naanza kwenda mwendo wa kibalozi km 80 pale inapobidi, na 50 mpaka 30 pale nnapotakiwa kutii.
π€£π€£π€£π€£
[emoji106][emoji106]I expected to see you here π)
How are you though!?
Kukaza nini? ππ