Niliamua kumuacha baada ya kugundua kuwa baba yake ni mganga wa kienyeji

Niliamua kumuacha baada ya kugundua kuwa baba yake ni mganga wa kienyeji

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Kuna pisi moja niliisotea kwa muda sana.

Kuna siku niliikaribisha gheto ikaja ila ikaninyima mzigo kwa kisingizio cha kuwa period, tukapanga akipona tupelekeane moto.

Kabla hajapona nikagundua baba yake ni mgangaél wa kienyeji,nilifuta namba siku hiyohiyo
 
Ulikuwa na Nia gani zaidi ya mahusiano ya Mapenzi?
Twambie vizuri au kunakitu kingine nyuma ya Pazia?
 
Ulikuwa na Nia gani zaidi ya mahusiano ya Mapenzi?
Twambie vizuri au kunakitu kingine nyuma ya Pazia?
Mapenzi tu,ujue mimi nina pepi la kukinai wanawake,nikipita nara mbili tatu namkinai,so niliogopa kuwa endapo nitamjinai nikamuacha itakuwaje akimwambia baba yaje
 
Sasa baba yake anahusikaje kwenye mahusiano yenu
We unaweza kuoa binti wamganga wa kienyrji,vipi ukimkorofisha akakushtakia kwa baba yake,hawakugeuzi msukule kweli
 
Bora uligutuka wangetoa kiungo chaķo kafara ndo ungetia akili
 
Sasa si ndio vizuri, akizingua unaenda kumroga kwa baba yake mwenyewe😃😃
 
Back
Top Bottom