Niliamua kumuacha baada ya kugundua kuwa baba yake ni mganga wa kienyeji

Niliamua kumuacha baada ya kugundua kuwa baba yake ni mganga wa kienyeji

Kuna pisi moja niliisotea kwa muda sana.
Kuna siku niliikaribisha gheto ikaja ila ikaninyima mzigo kwa kisingizio cha kuwa period,
Tukapanga akipona tupelekeane moto.

Kabla hajapona nikagundua baba yake ni mgangaél wa kienyeji,nilifuta namba siku hiyohiyo
Kwisha habari yako wewe.
 
Aisee kwahiyo sisi waganga mnatutenga ilihali mkipata mashida yenu mnatutafuta
 
Uchawi hauendi Kwa mentali,ungempa mimba alafu ukatae uone kama kweli utavimba tumbo wewe badala yake
 
SAFI SANA, Kujihushisha na washirikiano ni jambo baya sana
 
IMG_20240822_110750_303.jpg
 
🌱 KUBATILISHA UCHAWI 🌱
TALASIMU HII NI MUJARAB SANAA KWA:-
⚡Kubatilisha uchawi/sihri
⚡Uchawi wa kulishwa/kunyweshwa
⚡Uchawi wa kunyunyiziwa, kuunguzwa, kutundikwa.

🌿 MAELEZO 🌿
👉🏾Andika talasimu hii siku ya jumapili, kwenye sahani ya udongo kisha futa, aliyesibiwa na uchawi anywe siku sabaa.
👉🏾Andika kwenye karatasi nyeupe futa kwa maji ya wardi glasi saba, awe anachukua glasi moja na kuchanganya na maji ya kuoga kisha aoge siku sabaa
👉🏾Andika kwenye karatasi abebe hijabu siku 7.

Kwa ushauri na tiba za maradhi mbalimbali ya kiroho na kimwili wasiliana nasi.

What's app/call
wa.me/255656303019
~Chief Sang'ida
 
Back
Top Bottom