Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 4,407
- 16,942
Unapewa bei ya staff😃😃.Da hii kali
Wakihitaji majina ya ukoo, unamuuliza mtaalam mwenyewe. Hapo unaepukana na gharama nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapewa bei ya staff😃😃.Da hii kali
Kwisha habari yako wewe.Kuna pisi moja niliisotea kwa muda sana.
Kuna siku niliikaribisha gheto ikaja ila ikaninyima mzigo kwa kisingizio cha kuwa period,
Tukapanga akipona tupelekeane moto.
Kabla hajapona nikagundua baba yake ni mgangaél wa kienyeji,nilifuta namba siku hiyohiyo
Aisee kwahiyo sisi waganga mnatutenga ilihali mkipata mashida yenu mnatutafutaKuna pisi moja niliisotea kwa muda sana.
Kuna siku niliikaribisha gheto ikaja ila ikaninyima mzigo kwa kisingizio cha kuwa period,
Tukapanga akipona tupelekeane moto.
Kabla hajapona nikagundua baba yake ni mgangaél wa kienyeji,nilifuta namba siku hiyohiyo
Emu acheni acheni mambo yenu basiiWe unaweza kuoa binti wamganga wa kienyrji,vipi ukimkorofisha akakushtakia kwa baba yake,hawakugeuzi msukule kweli
Kwakipi nacho miliki zaidi ya kopo la chooniHuogopi kugeuzwa msukule
🌱 KUBATILISHA UCHAWI 🌱