Mapenzi tu,ujue mimi nina pepi la kukinai wanawake,nikipita nara mbili tatu namkinai,so niliogopa kuwa endapo nitamjinai nikamuacha itakuwaje akimwambia baba yajeUlikuwa na Nia gani zaidi ya mahusiano ya Mapenzi?
Twambie vizuri au kunakitu kingine nyuma ya Pazia?
Kumbe!Mapenzi tu,ujue mimi nina pepi la kukinai wanawake,nikipita nara mbili tatu namkinai,so niliogopa kuwa endapo nitamjinai nikamuacha itakuwaje akimwambia baba yaje
Kuwa na amaniWe unaweza kuoa binti wamganga wa kienyrji,vipi ukimkorofisha akakushtakia kwa baba yake,hawakugeuzi msukule kweli
Mnasaidiana kutoa majini Maimuna, Athuman, Abdul, makata na kibambio Asha 😹😹😹Chinja sana ika nawe simu yako ikifika unachinjwa