KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,320
Habari wana jf
naambatanisha na screenshot kutoka account yangu na nimeacha ubini tu wa kitanzania
Ili ujulikane kweli ni account yangu mimi mtanzania.
Nikiwa mdogo sana nilikuwa naamini kuwa unaweza kuwa na kazi fulani au jambo fulani ukatumia akili tu lakini ukaishi,
niliamini sana hiyo kitu lakini sikuweeza kupata mazingira sahihi siku zote.
maisha yakiwa yameendela sana baaade sana na ulimwengu unazidi kukua kwa utandawazi
niliikuta issue moja mtandano iq option nilikuwa interested sana lakini sikuweza kuifanya sababu ya mtaji, na wala sikuijua risk yake enapo ningeweza kuwekeza hela yangu
ila kila nikirade na demo account ndio nilikuwa naona napata faida tuuu so nikaona ni jambo la faida tu siku zote pasipo kujua kama naweza poteza hela yangu na kisha nikaishia kupata pressure tu.
ila baada ya mda kidogo nikakutana na kitu FOREX kwa watu fulani pamoja na JF nilipoigoogle na kupitia mambo yawatu mbalimbali nikajua kumbe hata ile iq option ilikuwa forex ila sikuijua kwa namna hiyo.
Pia nilijonea hapa JF jinsi watu wa Forex wanavyokandamizwa na kusemwa juu ya utapeli huo wakisasa huku zikiambaana na kampuni tofauti na forex ambazo zina mipigo inayoendana.
aisee mimi kwangu huwa simamini hadi initokee namimi, kwa ufupi siwezi amini ni sumu hadi nile inidhuru nikipata nafsi ya kupona ndio nitasema kweli bana hii nisumu nikifa basi mtasema alikufa kwa ubishi wake.
Kwakweli forex ni utapeli jamani msithubutu kufana hii kitu msije mkatapeliwa kabisaaa
Jana Usiku Hadi leo Asubuhi nimepata USD 494 Yaaani simple kabisaaa,
Balance yangu unaweza isoma mwenyewe hapo jamani pia nisha fanya withdraw kama nusu ya hiyo balance wana JF.
Kwakweli huu ni utapeli jamani nilideposit kama usd 200 kwa majaribio tu, Si mnaijua ile michezo yakuchangiana?
basi kule kazini mimi ndio mwenyekiti nilipopokea hela sikumpa mwenye zamu nikajifanya nimepata dharula na kazini sikwenda nikawaambia nimesafiri nimerudi kwetu mbeya kuna tatizo.
Kumbe niko ndani na Hela nimeiweka Forex, Sijui ikawaje nikajikuta asubuhi deposit ya USD 200 Jioni Withdraw ya USD 380.
Jamani Ni Utapeli tu( Nimecheza Na Demo kwa Miezi mi4)
NIkakutana Na Uzi hapa unaeleza juu ya Cent account yaani unakuwa unadeposit usd 1 lakini kule inaingia USD 100 basi nikadeposit USD 10 kule ikasoma USD 1000 nikacheza nahiyo Cent forex kwa miezi mitatu tena baada ya hapo nikajiridhisha kuwa naweza fungua LIVE FOREX ACCOUNT
Ambapo ndio nilitumia pesa kama nilivo waambia hapo juu.
ZINGATIO Namba 1:::--- Sipo hapa kumshauri mtu ajiunge na Forex ila nakazia tu kauli ya kusema Forex Ni Utapeli Proof Yangu Hiyo hapo Juu.
ZINGATIO Namba 2:::--Sio kila mkulima akilima atafanikiwa katika kilimo chake wengine wataishia kupata chakula tu wengine watapata na akiba kidogo wengine watakuwa mabilionea
ZINGATIO Namba 3:::---Ukikutana na watu nichongo nawe ziba lako jicho moja uwe chongo.
ZINGATIO LA MWISHO:::: Hakuna Mafanikio utakayoletewa na kumbuka sio wanadamu wote tutakuwaMabilionea na kumbuka kupata fedha sio mafanikio na mafanikio hayaji ukubwani bali ni maisha yetu ya kila siku