Niliandika Mwaka 2022 kuhusu vigogo Kutumia Bendera ya CCM Kusafirisha Wahamiaji

Kipi usichoelewa?

CCM wanamfahamu huyo mwenye gari ni mwanachama wao na kiongozi pia. Wanafahamu fika kuwa na yeye anawafahamu vizuri na biashara haramu wanazofanya anazijua.
Wanafahamu wakimwaga mboga atamwaga ugali.

Heri nusu shari kuliko shari kamili.
 
Yule mzee yuko hai kweli?
Na lile likikuwa dili lake na Nzee wa Nsoga walipiga sana hela za askari waliokwenda kulinda amani Lebanon,Dafur na DRC. Hawa wazee wakifa wanaenda kugeuzwa kuni za kuwachomea wadhambi wenzao maana hawa wamekubuhu.
 
Na hiyo haikuwa mara ya kwanza hili ni dili la kitambo naona kwenye hiyo chain yao kuna mtu kadhulumiwa mgao ndiyo kachomoa betri.
 
Uhuni uliofanywa na dereva la gari hilo kwa kuweka bendera ya ccm hakika haukubaliki, uhuni wa aina hii hautofautiani na ule wa wauza bhange na wahalifu, kuweka bendera za ccm kwenye uhalifu wao, aidha Meli za kihalifu kupeperusha bendera za Tanzania hili halivumiliki kabisa, adhabu kali zitolewe!
 
Na lile likikuwa dili lake na Nzee wa Nsoga walipiga sana hela za askari waliokwenda kulinda amani Lebanon,Dafur na DRC. Hawa wazee wakifa wanaenda kugeuzwa kuni za kuwachomea wadhambi wenzao maana hawa wamekubuhu.
HAKIKA.

Wanaitwa wataabishaji.
 
Unawaza kiwepesi sana πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa kama ni kweli unataka wajitokeze kudanganya, au?
Na wao ni binadamu, wanachoka kusema UONGO kila siku broo!


View: https://twitter.com/mdudechadematz/status/1772190962392932767?t=8KtUr8EAE8cmVVH6ki23eQ&s=19
 
Hatuna UZALENDO, kwasabab wafanya maamuz baadhi yao hawana DNA za undugu na mwafrika, WACHINA wanadharau Kwa WaTz kutokana na kupewa vibur na ccm, ila nenda china hata pale airports zao mtukane Mchina unafifishwa haraka. Nenda Rwanda haps ummvuruge mzawa...utasoma mamba..Tz CCM imeajir IDARA zote...badala ya serikali kuajir CCM....ndo maana imigration wako kimya juu ya Jambo hili....Ila sasa mzawa akutwe na Tu na yai la BUNDI..miaka 30....Ila mhindi,.mharabu sawa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…