Sijui Yu wapi!!Yule mzee yuko hai kweli?
Hii Nchi Ina pesa sana,
Isingekuwa kundi hili dogo lenye kufukarisha Nchi, tungekuwa mbali sana katika maendeleo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui Yu wapi!!Yule mzee yuko hai kweli?
Hiyo colabo yake na mkwepa kodi mbobevu siyo ya kitoto.Na amerudi kuonyesha kipaji chake kupitia GSM!
Bahasha mbele kwa mbele mpaka ligi inaelekea kuharibika!
Kipi usichoelewa?Mimi ninakubaliana nawe vizuri kabisa.
Ila ninachopingaba hapo ni kwamba ....
Hao viongozi au wana CCM ni binadamu wenye utashi wao tofauti.
Kwenye misafara ya Mamba hata Kenge pia huwa wamo.
Na point yangu inakuja kwamba.Tulitakiwa kuisikia CCM ikijitokeza na kutuelezea kuhudika moja kwa moja mhusika na mmiliki wa gari hilo.
Wadhifa wake ndani ya CCM lakini pia kimekuwaje gari lake liondoke Dar es Salaam hadi kufika Minjingu Arusha.
Bila yeye kama mmiliki kutotambua na kutoa taarifa ya kutoweka kwa gari lake?
CCM nao kuzidi kukaa kimya bila kutuambia ni hatua Gani stahiki wamekwisha mchukulia mwanachama wao mpaka sasa!
Au hilo gari ni mali ya CCM kiuhaslisia?
Na lile likikuwa dili lake na Nzee wa Nsoga walipiga sana hela za askari waliokwenda kulinda amani Lebanon,Dafur na DRC. Hawa wazee wakifa wanaenda kugeuzwa kuni za kuwachomea wadhambi wenzao maana hawa wamekubuhu.Yule mzee yuko hai kweli?
Na hiyo haikuwa mara ya kwanza hili ni dili la kitambo naona kwenye hiyo chain yao kuna mtu kadhulumiwa mgao ndiyo kachomoa betri.Kipi usichoelewa?
CCM wanamfahamu huyo mwenye gari ni mwanachama wao na kiongozi pia. Wanafahamu fika kuwa na yeye anawafahamu vizuri na biashara haramu wanazofanya anazijua.
Wanafahamu wakimwaga mboga atamwaga ugali.
Heri nusu shari kuliko shari kamili.
Duuh kweli aiseeKitambo sana
Ulidhani Haji ni Mtoto mwenzenu? 😂😂
HAKIKA.Na lile likikuwa dili lake na Nzee wa Nsoga walipiga sana hela za askari waliokwenda kulinda amani Lebanon,Dafur na DRC. Hawa wazee wakifa wanaenda kugeuzwa kuni za kuwachomea wadhambi wenzao maana hawa wamekubuhu.
Unawaza kiwepesi sana 😂😂Uhuni uliofanywa na dereva la gari hilo kwa kuweka bendera ya ccm hakika haukubaliki, uhuni wa aina hii hautofautiani na ule wa wauza bhange na wahalifu, kuweka bendera za ccm kwenye uhalifu wao, aidha Meli za kihalifu kupeperusha bendera za Tanzania hili halivumiliki kabisa, adhabu kali zitolewe!
Sasa kama ni kweli unataka wajitokeze kudanganya, au?CCM mlipaswa kuwa mmejitokeza kupitia msemaji wa chama.Ili kuuelezea umma wa Watanzania kuhusiana na kilochotokea kwenye kashfa hii ya gari lenye kuwa na bendera ya CCM,na ambalo imeelezwa kuwa linamilikiwa na kada wa CCM na ni kiongozi wa moja ya taasisi za CCM mkoa wa Dar-es- salaam.
AKAWAIBIAManara alikuwaga Muenezi wa CCM kabla ya kuajiriwa Makolo FC [emoji23][emoji23]
Kwani hufamu juu ya waovu wachache kutumia bendera za ccm? Ili kufanikisha maujinga yao!Unawaza kiwepesi sana 😂😂