Midazolam
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 807
- 1,340
Mada inajieleza,huo mchezo mjomba wangu alikuwa ni master huko china zaidi ya miaka 30.aliporudi Tz akaanza kunifundisha nikiwa na miaka 5 mpaka miaka 27 na Sasa nina miaka 30 hakuna kitu nisichokijua kwenye karate nimepiga wengi wanaojiita master na sijui kumchokoza mtu ukinichoza najaribu kuepuka ugomvi.
Tatizo langu nahitaji kumaliza usugu kwenye vidole vya mkono wangu,maana inanipa shida na imewahi kunipa kesi uzuri nafanya kazi pendwa na halali kwa hiyo kunitia shaka ni vigumu.
Ni kipodozi gani itanifaa kutoa huu usugu,mda mwingi navaa gloves za nguo.