Kuna kitu tunaita nidhamu, ukiachilia mbali nidhamu pia ukija kisheria ya nchi yeyote martial artists huwa wanachukuliwa kama silaha (mwili wa martial artist yeyote ni leaving weapon kutokana na alivyo u condition kwa mazoezi makali na uelewa mkubwa wa sehemu dhaifu kwenye mwili wa binadamu) sasa ikatokea umepiga mtu hata kwa kosa linalo epukika , unikamatwa ukafikishwa mahakamani huwa hawana cha kuuliza mara mbili hali ya kuwa aliyekuchokoza alikuwa hana silaha ujue lazima fine ikuhusu.
Kingine ni kuwa sheria huwa inaangalia pia na idadi ya watu waliokuchokoza na silaha zao mfano karateka mkoja mwenye black belt akipigana na mtu mmoja au wawili au watatu kwa kosa la kijinga tu tena wakiwa hawana silaha jua ,kosa ni la karateka na si la hao watu watatu .
At leats uanze kupigana na watu 10 wasio na silaha utasikilizwa ( kwa maana hata hivyo itakuwa sio kupigana bali kupiga). Na ndiyo maana kuna comittees nyingi tu ambazo ni halali kabisa kuekana sawa martial artists ,[emoji23] unaenda unapigwa au kupiga saaafi kabisa no stress no case.
Sent using
Jamii Forums mobile app